JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Endapo nzige wakakatiza mitaa yako, wanaweza kuwa kitoweo kama senene Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
624 Views
Siku zote ukiona mbongo hapatikani yaani yuko busy jua tu yuko kwenye mkutano au kikao ambacho wanalipana posho za vikao ila wanaongea pumba tupu, ndo manaa tangu uhuru vikao vyote nchi bado...
1 Reactions
8 Replies
849 Views
Nendeni KWENYE mitandao yaani wachinaa wamejazana kuomba urafiki kila sehemu Huko kwa wakubwa ndio balaa wanaomba na namba za SIMU na jinsi ya kufika Tanzania Watanzania msichezee opportunity...
20 Reactions
159 Replies
14K Views
Ikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwaka huu 2017 naomba nitoe pongez zangu kwa Mshana Jr ... Kwa kuweza kutowa Elimu Kubwa iliyotujenga sisi wadau wa mambo ya Giza... Big up mshana...
12 Reactions
89 Replies
6K Views
CORONA VIRUS ITALY: Lockdown CHINA: Lockdown DENMARK: Lockdown NORWAY: Lockdown IRELAND:close all school and cancel mass gathering USA: close all school and ban European plane TANZANIA : osha...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Salaam kwenu wana jamv pendwa la Jamii forums Binafs nichukue nafas hii adimu sana kuwashukuru kwa kuendelea kuwa pamoja nimejifunza mengi na nitaendelea kujifunza meng kupitia kwenu Kuelekea...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani hii Siri nimeificha kwa muda mrefu leo nimeona bora niwaambie ukweli "Mimi ndiyo yule nnaetoaga majibu ya hesabu zenu kwenye calculator" Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hebu tujaribu kukokotoa uwiano uliopo kati ya meseji tunazoandika humu jf na reaction point tunazopata katika meseji hizo. Yaani kama hivi (Reaction points ÷ Message). Halafu matokeo yatapangwa...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Habarini wadau. Nlikuwa na mizunguko kidogo ya kikazi.Canada,Egypt,Sweden,South Africa na Kenya. Nipo bongo. Nmesikitika leo kukuta jamaa wanagombana sababu ya tsh 100,000 tu.hii hii ya...
34 Reactions
70 Replies
6K Views
Tuchukulie umepata namba ya manzi kwenye hidden source. ile kumcheki tu unaulizwa "umepata wapi namba yangu" MABAHARIA WENZANGU HUWA MNAWAJIBUJE Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu, siku ya leo haikuwa mbaya sana. Wote tuliamka salama na baada ya wife kunichemshia maji ya kuoga kwenye kuni basi akawa pale uwani anafua vikanga vya mkojo alivyo tumia usiku uliopita...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
1. Mama/baba aliyepokea kodi ya nyumba 2. Mfanyakazi wa taasisi/wizara ya serikali amepokea mshahara 3. Madalali/watu wa kati/wapiga dili kama issue imepiga tick 4. Mtu amepandishwa cheo 5...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu leo nilijichanganya nikaingia Intelligence wamenipa nondo za kuuacha mwili nimezidiwa na somo bora tuendelee na mada zetu za Lisa Ann na Mia khalifa Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawatakia jumatatu njema jamii yote ya JF Mungu awalinde na kila baya mbele Yenu tuzidi kumuomba Mungu na kufanya. Kwa juhudi na maarifa lakini pia nashukuru uwongozi mzima wa JF kwa kazi kubwa ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
MIZANI – SEPT 23 – OCT22 Siku ya leo unatakiwa kuwa makini sana na vichochoro unavyopita Kwani kuna hatari ya kukutana na watu wanaokudai wakiwa Wameongozana. Kuepuka hatari hiyo...
2 Reactions
54 Replies
23K Views
Hlw wana jf tena, Taaluma huenda kando na refreshment na chuo hupambwa na elimu bora, hadhi ya chuo(Status) na pia idadi ya warembo wanaomotivate masomo. kumekua na ubishi wa ushindani wa vyuo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jana katika pitapita zangu nikakutana na msela kataitishwa na vibaka wawili huku wakimpiga kwa panga (bapa) wakimlazimisha awape hela. Aisee mimi sio mwanaume wa Dar niliingilia kumuokoa jamaa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni mchaga kutokea Mkuu Rombo, ila pia ni mkazi wa Dar es Salaam japo sipendi kuitwa mwanaume wa Dar. Kuna jambo moja linanikera sana kwa kweli kila nikienda nyumbani Kilimanjaro nikikutana...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanawake Punguzeni kula chakula bila mpangilio na fanyeni mazoezi. Mtalalamika kutoolewa na una mwili kama pipa na hela huna. Angalau ungekuwa na hela ungevipata hivi vimarioo vya Dar. Badilikeni...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Siku hizi kila unapoenda iwe kitaa, ofisini au kwenye mitandao ya kijamii watu wanaleta chuki bila sababu ya msingi. Watu wakikuona una maendeleo binafsi na unavaa unapendeza wanakushambulia kwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom