1. Team picha
Hawa ni matomaso huomba ushahidi wa picha hata kwa Jambo lisilo wezekana
2.Wazee wa mrejesho
Hawa huomba mrejesho hasa pale wanapojua utafeli au kuangukia pua kwenye Jambo lako...
Habari jamvini, habari wanaume.
Wasisiwasi kwa Sasa Ni juu ya wanawake kukosa pa kukidhi haja zao kutokana na
1. Wanaume kuwa wachache wanawake kuwa wengi,
mf. penye wanaume 50 pana wanawake...
Kwanza naomba niwaonye wakubwa wenzangu, ili kurahisisha maisha kuna wakati tunapaswa kupuuza baadhi ya mambo ili tujifanyie wepesi.
Naomba nifupishe simulizi.
Leo nilifunga safari kwenda shule...
Mi kwa upande wangu Mchana, asubuhi, jioni vyote Leo havijaenda poa kabisa, kweli siku hazifanani kuna siku unapiga bingo mpaka unahisi mzeebaba alikuwa nyumma yako.
Nipo geto nimepumzisha akili...
Jamani naomba mnisaidie, pale watu kulia / kuliliwa kabla hata hajahukumiwa ni kukiri kwamba yuko guilty?
Wabobezi wa haya mambo mnisaidie.
Povu Ruksa
God save us
Nmehuzunika sikuwa najua kumbe DSM ni kubwa sana. Kuna watu wanakaaa mbali. Leo nmefika mpaka Mbagala.
Unajua maeneo ambayo mi nayafahamu ni toka posta barabara mpaka Bagamoyo. Na pia niliwahi...
Ushuzi wa wanawake unanuka zaidi kuliko wa Wanaume mojawapo ya sababu inayotajwa na watafiti ni kutokana na wanawake kuwa na uwingi wa gesi ya Hydrogen Sulfide.
Source:
Sent using Jamii Forums...
Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana.
Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu...
Habari wana JF, natumai mko wazima, bila kupoteza muda, ngoja niingie kwenye mada;
Nakumbuka, muda umepita, niliota kuwa ilikuwa jioni; mwanume, mid-30's, akiwa kajibebeba kijisanduku, anaingia...
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2019. Hiki ni kikosi changu bora. Nafurahishwa na kuelimishwa na michango ya members wengi sana ila hawa nimetokea kuwaelewa sana..
1. Mshana Jr
2. Chige...
Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima...
Kumi bora zangu katika masuala ya kisiasa, Mwaka 2016 hadi 2020.
1. CCM - (chama)
2. William Lukuvi - (waziri)
3. Anthony Mtaka - (mkuu wa mkoa)
4. Cosato Chumi - (mbunge tawala)
5...
Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! :D
Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
Habari wanajukwaa!
Ama baada ya salamu kwa kawaida siku kama ya leo 8 March huwa nimezoea kuona watu wakianziasha mada mbali zinazowahusu akina mama na akina dada pamoja na wasichana kwa minajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.