Mashabiki wa Yanga wanao wakati mgumu sana:
Kwanza siku ya Valentine lazima watinge Jezi za Simba One love.Kama unabisha waulize
Pili wanajikuta katika wakati mgumu kwa sababu sio washabiki wala...
MDAU: Nimekuja hapa Dar kwa rafiki yangu wiki ya pili sasa ananiletea chipsi usiku, nikimuuliza kwanini anasema eti ndio chakula cha haraka, namwambia niwe napika anasema inapoteza muda.
Kwanini...
watz tunasimangwa Kwa kutotembea nje ya nchi. Naamini humu Tutakuwa tumebobea Ktk kutembea ndani ya nchi.
binafsi nimeishi na nimetembea mikoa 14 tz Bara na Mmoja Zanzibar.
nilichojifunza
Ni...
Maisha ya sasa hivi haijalishi ni msomi au si msomi ila yanakua na changamoto nyingi sana. ulipopapata pashikilie kwa sababu juu ni kugumu sana na fursa nikidogo labda uwe na mtaji wakutosha
Habari zenu vijana.
Hii ni kwa wale waliokuwa wanapenda kukimbia sana debate mashuleni mnajifanya wajanja sana sasa huku mtaani kwenye ajira ndio utajutia jitu linakuja kwenye interview ya group...
Huwa inanitokea na ni kawaida yangu kila ninapofanya vizuri au kufanikiwa katika jambo fulani, basi natafuta namna yeyote ile ya KUJIPONGEZA.
Vile vile nikiwa nimeharibu au kukosea kwenye jambo...
Oraaah inakua ni viplo machalii na mamanzi wa humu fiade!?..I hope mko full mambo ni wiu wiu ama nene.!!
Bas Leo ile mornie Si nikakadekerea ka'mamiloox kakali kinyama usipime asee et...
Kama ungepata nafasi na uwezo wa kuondoa na kufuta kabisa kitu chochote hapa Duniani ungechagua nini?
Me naanza kwa kuorodhesha vitu 3 ambavyo kama ningepata nafasi uwezo na nguvu ningevifutilia...
Hii nchi ina mambo mengi kuanzia siasa zake, uchumi wake wa mfumuko wa bei burudani zake za fitna za kisimba na yanga na wasanii wake wenye kuishi na kujijenga kitasnia kwa kiki achilia mbali...
Wale ambao hatupendi kutumia simu kubwa kwa umbo tukutane hapa!
Kwa kifupi sipendezwi na simu pana na kubwa kwa umbo ndio maana napenda
iPhone 7 plain
iPhone 8 plain
IPhone SE
iPhone X
iPhone XS...
Mahakama ya wilaya ya Kinondoni leo imemuhukumu mwanamke mmoja mkazi wa Tandale Imelda Elisha (28) kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la wizi.
Akisoma hukumu hiyo, hakimu Joel Mwambuta amesema...
Mara paap unaangalia Cnn news au TBC au xnxx news unasikia breaking news kuwa dakika hii Bom la nuclear limetua Congo na baada ya lisaa limoja Africa nzima itakuwa Vumbi na Majivu.
Wewe utafanya...
Brother K huwa nikimuona tu huyu jamaa nacheka bila sababu hatakama ajaongea lolote
Tizama hii video hapa kisha toa comment yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Waacha wagawianeni vyeo lakini tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi...
Unaish maisha kama uko motoni
Haya ni maneno aliyoyatoa jamaa yangu m1,jana nilimkuta victoria pale ananyeshewa na mvua nkampa lift,sasa tukawa tunacheka, Kasema yeye machaguo aliyochagua maishan...
Dear wake zetu, kutokana na mvua kali hapa Dar, ma-HR kwenye ofisi tunazofanyia kazi wameomba tulale ofisini ili kuepusha bugdha;
Maazimio haya yameafikiwa na kila mwanachama wa chama cha waume...
Habari JF,
Ebu tuambie ni kampuni gani unaisikia sikia tu au unaifahamu na ungependa ikuajiri?
Weka kiwango cha elimu na ujuzi uliosomea hapa hapa mfano BA in MarkeTing, Dip in IT then taja jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.