JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kiwango cha alcohol katika beer ni kidogo sana aisee yan 5% aisee hapana hii sio fair kabsa naomba pendekezo langu beer iwe angalau 15%-25% kulingana na kiwango cha hela 1500..... Ni nyingi sana...
3 Reactions
64 Replies
7K Views
Naomba tukumbushane enzi za shule. Mnamkumbuka walimu wa kuu MR Mndeme na kipigo chake na Mr amuri? Pia muheshimiwa John komba alitufundisha siasa tukiwa darasa la 4 alivyo maliza jkt mafinga...
3 Reactions
254 Replies
35K Views
Kutoka kwenye Wimbo wa Nandy na Willy Paul, Willy Paul alisikika akijiita "Fundi Mwenye Slow Motion" Fundi mwenye Slow Motion ni nani? Taja Sifa za Fundi mwenye Slow Motion Naanza na 1.hana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nashangaa kila mtu anavyojitahidi kujitofautisha na mwingine katika kuiendea harusi wengine wanapanda Magari, Meli ndege, bajaji, baiskeli, farasi, punda nk. Lakini baada ya muda mfupi wote...
3 Reactions
5 Replies
633 Views
Kwa wale watakaokuwa kwenye mfungo wa Kwaresma wakijitafakari maisha yao na uchaji wao karibu na Mungu nawatakia mfungo mwema. Pia nami niwaage kwa muda nikijitafakari nami, pia nikijiuliza kuhusu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wewe ni me/ke unajitahidi kumwelekeza mwenzio asifanye vitendo vya uvunjifu wa familia.Mwenzio ndo kwanza haelewi. Anafanya usichopenda. Anarudia mlichokubaliana kuacha. Anakudharau. Anakunyima...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Hivi wadau nimejaribu kuwaza....mara paap babu Mwasapile kaibuka na kikombe cha Corona ni vipi tutaachia wagonjwa kutoka China na nchi nyingine waathirika wamiminike nchini tupige bingo la utalii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello JF naomba kujua tofauti Kati ya MWANAMKE na mwanaume. Comment to na picha. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wadau hususani wale wenye ndoa zao mjini apa, Ni takribani miezi miwili hivi kumekua na hali ya fukuto, harara na joto jingi sana Hali hii imesababisha wenzangu na mimi wanaoishi kwenye...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Jamani wengine hata tukipost kitu huku hakuna wachangiaji hata salamu jamani!
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Zingatia, Wanaume kusaidiana eti! Weekend njema. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
648 Views
Nawatakia heri ya kuzaliwa kwenu, mjue mwakani hii tarehe haitakuwepo[emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
520 Views
Nimeshindwa kuvumilia jamani,hii kitu imepikwa wakiwa uchi ama vp?..mbona tamu kiasi hichi?..imani yangu inanikataza lkn naipiga krb mara 5 kwa wiki,,ni tamu haina mfano,,zingine siwezi,,HV...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mm Husema One Day Yess Ipo Siku Tu Nami Nitakuwa Mmoja Wa Wamiliki Mungu Bariki Strugglers zangu Nasepa zangu Haya VP ww Husema Maneno Gani [emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Yo mama's teeth are so yellow traffic slows down when she smiles Yo mama's so stupid, when they said, "Order in the court," she asked for fries and a stake. Yo Mama’s so ugly that your father...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Huyu jamaa nimekuwa nikimfuatilia kwa muda kidogo nione mwelekeo wake kimuziki. Kila siku anazidi kuimarika na kuwa fundi. Kiufupi Burna Boy anafanya kitu ambacho wasanii wachache wa Afrika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mazoea hujenga tabia.Kwa sisi wengine toka tunakua tulizoea sana choo cha kukaa. Tulipoenda shule angalau tukajifunza mambo mapya. Nimemaliza chuo miaka ming ago, from there nimekuwa nikitumia...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Japo siyo vema kukumbuka 'misoto' ila sometimes inabidi ili liwe funzo la kurekebisha/kubadili mwelekeo wa maisha. Binafsi kuna harufu mpaka leo hazitoki kwenye hisia zangu kwani niliziishi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jana nilienda kwenye moja ya saluni kupunguza nywele.. Nikafika nikamkuta kinyozi yuko pekeyake anakula mziki akisubiri wateja..bila kuchelewa nikakaa kwenye kiti ili nipate huduma..wakati huduma...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom