JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kila nikijiuliza sipati jibu, juzi hapa nimekutana na ndugu yangu hatujaonana kitambo sana. Katika kupiga stori akaniambia kati ya sigara au bangi kuna kimoja unatumia. Nikamuuliza umejuaje...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Tupia Picha au Maneno kwa Kitu unachofahamu kujuza wengine Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MILEMBE TV [emoji342] ##### HABARI ya Mujini na Kijijini ndugu mtangazaji wa kipindi changu pendwa kutoka MILEMBE TV [emoji342]. Ni kipindi ambacho kinaniwezesha mimi kama mtangazaji kuweka na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwaresma ni kipindi kitakatifu cha kukumbuka mateso ya bwana Yesu, wakristo tunakumbushwa kumrudia Mungu huku tukitafakari kwa kina maisha yetu katika imani. Wenzetu wana mwezi wa Ramadhani sisi...
14 Reactions
81 Replies
9K Views
Wadau.sijui ni mimi tu au na nyie mme observe. Dada zetu wa Kibongo ni wakarimu toka miaka ya nyuma sana.hata kwa wageni wakija Bongo huwa wana enjoy sana. Ukipita...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
Make a machine your slave
1 Reactions
0 Replies
476 Views
Habarini ndugu wajamvi ,ni matumaini yangu mu wazima was afya Leo ni siku muhimu sana Kwa mwana jf mwenzetu Evart Kwa kutimiza miaka kadhaa ,Tusaidiane kumtakia maisha mema. Nawasilisha.
1 Reactions
2 Replies
448 Views
Vyakula vyetu vya asili ni vizuri zaidi ya vyakula vya kisasa tunavyotumia kwa wingi. Hakuna asiye na kabila na kila kabila lina chakula cha asili tujikumbushe kupitia comments na picha. Kwa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani nimeangalia hizi siasa za Kenya Huyu waziri wa Utalii na naibu wake nimecheka sana. Enjoy hapa.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kumiliki kitu Kama nyumba, gari,baiskeli, pikipiki sio kitu Cha mchezo, Tuambie siku yako ya Kwanza kumiliki .......... ulikuwa na mzuka gani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Rahisi tu kama inavyosomeka hapo...matikiti yanalipa sana...okay sawa kalime wewe tuone! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
771 Views
Sio poa kabisa mwamba, hata kama unamiliki chuma ila dahh ulizingua kinyama. Ipo hivi.... Mnyama nilijilipua kiwanja flani last night, mara kwa mbali wakati natoka nje nikaongee na sim nikawa...
12 Reactions
51 Replies
4K Views
Kumekuwa na utamaduni mkubwa nchini na duniani kuwa mtoto wa kike siku zote ni muathirika wa matukio fulani fulani na mtoto wa kiume yeye ni mtukutu, hii sio sahihi. Basi nataka kuanzisha kampeni...
1 Reactions
3 Replies
871 Views
Kwanza kama kichwa kisemavyo hapa utatiririka kioja au kituko ulichokifanya ili uendelee kuwa juu mana sisi mabishoo hatunaga kuanguka.....Naanza! Mwaka wa 2014 nilikuwa pande za Dar kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
*SIKU NILIYOLALA NA MKE WA MTU KIUTANI UTANI* Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni). Niliiingia ndani ya...
19 Reactions
72 Replies
8K Views
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi. Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu zitto junior kama guest,uliza...
6 Reactions
225 Replies
14K Views
Mimi binafsi Kuna vitu zamani nilikuwa sivijui, baada ya kuvijua nilicheka Sana. Kuna ile slogan ya kwenye tangazo la tigo zamani kidogo, mimi nilikuwa nasikia wanasema ESHESHESHEEEEE baadae...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wenyeji wa mkoa wa iringa naomba tutafutane mimi ni mgeni huku Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
661 Views
Yaani sisi watanzania bana tumegawanyika katika makundi manne 1.kuna wale weusi tiii hawa wengi manigaaa 2.kuna wale wenye weusi wa kawaida 3.kuna wale Maji ya kunde au wenye rangi ya kahawia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom