Habarini. Jana nilipita sehemu fulani nikakuta wananchi wamejazana sana wanasubiria Usafiri. Nilikuwa na BMW nikatamani niweze wasaidia lakini sikuweza kiukweli.
Nikawa nawaza mwenyewe njiani...
Wanavaa tusuruali hatufiki chini.
Hawavai soksi.
Kuimba vinyimbo vya kikekike
Enzi zetu (90s na early 2000s)
Uhuni ni kuvaa suruali inaitwa pisto. Hizi walivaa masteringi wa movie za Kachina na...
Wanajamvi naomba kujua yule aliekuwa akitengeneza Burger pale kituo cha mafuta cha Total pale Morocco karibu na makao makuu ya Airtel Tanzania wapo wapi siku hizi?
Najua kuna wakati walihamia...
Habari zenu wakuu ,
katika maisha kuna wakati unatamani kufanya jambo fulani na unakuwa na matumaini ipo siku utalifanikisha
Wapo wenye ndoto za kuwa na magari mazuri , nyumba za kifahari ...
Nineteen-year-old self-taught hacker and Argentinian native sets record as first bug bounty hacker to surpass $1M earned by hacking to create a safer Internet
SAN FRANCISCO-- March 1, 2019...
Hii kitu enzi zetu za utoto ligi za mchangani tumetumia sana. Unachimbia golini hapo wapinzani wenu kila wakipiga mashuti ngoma inagonga mwamba au inapaa tu. Wale wa Mtwara na Lindi watanielewa sana.
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana...
Vijana tafuteni hela MTUNZE familia zenu, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali na kujihusisha na SIASA MAJITAKA, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
Nafikiri selfie ndo best sababu unachagua ni namna gani nzuri uonekane japo hata picha ya kupigwa sio mbaya ila sometimes unaweza kupigwa picha usiyo ipenda.
Tafakuri yangu leo imenikumbusha Sana Dar ya zamani 60s na 70s.
Wale wanaoikumbuka Dar na Tanzania ya zamani tukumbushane, si lazima iwe 60s na 70s, nimeweka kigezo hicho binafsi kwani ndipo...
Touch me like you never touched somebody before, you are made of pure dreams makes of champagne for sure.
Do you ever wonder how good life could be?! You don't have to wonder just life to me...
Katika harakati za kusaka maisha Mganda, Mkenya na Mtanzania wakajikuta mikononi mwa dola huko Uchina, kosa likiwa kukutwa na madawa ya kulevya.
Kama mnavyojua Uchina ukishatiwa mbaroni wewe ni...
Wadau...
Mi natafuta wana wa kupiga nao story...wakija na wasichana itakuwa poa..though wana sijawatenga...mambo ya vibomu sitaki..kila mtu apambane na hali yake...kupangiana maisha vile vile...
Ivi ni ushamba au ulimbukeni? Umelewa kwa pesa yako afu unatoa matusi ovyo! Ivi sheria inasemaje kuhusu watoa matusi ovyo hadharani? Ningekuwa na bastola nakuchapa za USO!
Wakuu,
Nimepata hamu sana ya kuikumbuka shule niliyosoma O Level na kumaliza mwaka 1993 Form Four. Hebu kama kuna mtu alisoma kipindi hicho tubadilishane mawazo; wakati huo Mkuu wa Shule...
Majamaa,
Kuna msela wangu yuko mtoni ananiuliza kama aukane uraia wa Tanzania na kuchukua wa nje. Bongo hakuna dual citizenship.
Mimi nimemwambia Bongo hakuna issue akae tu huko. Je, wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.