Sasa hii imeonekana ndio sababu ya wanaume kuchelewa nyumbani
Kila Nyumba anatajwa DK zainab kwamba ndio chanzo na kwamba walizimia usiku kucha.
Jamani
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020.
Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe...
Watu wengi wakiwaona watu hawafanikiwi huibuka na misemo yao mingi kama uvivu wa ukoo wao unamtafuna, alikuwa mbeja mgawa embe mimba angepatia wapi, kwao aliyefanikiwa kaishia darasa la nne yeye...
Wakuu hapa nipo mahali fulani very classy na kuna watoto wakali balaa ...uwiiiii yeleuwiiiii
Kuna mmoja nimemuona hapa wakuu aisee mtoto utadhani hanyi aisee wakuu leo napata shida hapa mwenzenu...
Mara ya kwanza kufika nilipelekwa Magogoni 'Striti', kisha baharini kushangaa baharini, kisha kadaraja ka Manzese.
Njoo ushauri watu machimbo ya kushangaa hasa sisi wa Miji kasoro Dar.
Labda tu niseme kuwa kiuhalisia sipendi uadui na binadamu. Adui yangu siku zote ni umasikini. Huu ndiyo nauchukia sana pamoja na shetani.
Mimi nimewahi miliki kwa muda mfupi sana kama miezi...
Twende kazi saizi unakula Ngoma gani kali hapo..!?
Mimi hiyo hapo [emoji116] [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani tunaosikiliza redio kupitia itune mmetuwekea matangazo mmesahau kabisa kutuunganisha na live fm wote hadi mafundi mitambo mmeungana kusikiliza udaku wa Dk.Mwaka na wake zake hadi mmesahau...
Kuna jeshi la migambo
Kuna jeshi la police
Kuna jeshi la FFU
Kuna jeshi la JWTZ.. [emoji134]
Eti tuna bishana ni jeshi lipi likiingia mtaani lazima pawe kimyaaaa...[emoji3]
Sent using Jamii...
Dadeq, nimepotea jf kwa muda mrefu kutokana na matatizo binafsi. Niliibiwa simu na ikawa changamoto kupata simu nyingine. Nimefanya vibarua vya kila aina lakini hela yote tumbo likawa linachukua...
Wakuu hebu tuchemshe bongo zetu kidogo, Je ni nani anaweza kunipa idadi ya magari yote yatakayosajiliwa hapa Tanzania kwa kufuata mfumo huu.
Gari ya kwanza kusajiliwa hapa nchini ni yenye number...
Habari wakuu,
Ningependa tuchangamshe bongo zetu kidogo.
Unaweza kutunga sentensi kwa kutumia lugha 3 tofauti?
Ngoja nianze na mfano:
1. Habari za asubuhi (Kiswahili)
2. Good morning (English)...
Binafsi ni masaa matutu, yan baada ya dakika ya tatu kuisha ifikapo saa nne tigo ilikua free, sasa kazi inayobaki ni kubadilisha tu sikio. Hakika ujana na mapenzi ni adui mkubwa wa common sense.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.