Ni baada ya kutuma sms kwa babaangu badala ya kutuma kwa mchumbawangu.
Ilikuwa hivi.
Hello honey, happy valentine. Unajua ninavokupenda mpenzi wangu. Nimekununulia zawadi ya boksa Kama kumbukumbu...
Uzi huu ni kwetu sisi wapenda game toka miaka na miaka na hatuoni dalili ya kustaaf hivi vitu.
Kwa wale wanaouza cd wanaweza kushare hapa pia.
Tutashare changamoto tunazokutana nazo, game nzuri...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hebu hebu kila mmoja atoe ushuhuda ni Kitu gani alishawahi kudanganya watu wanaomzunguka kwa nia ya kujipatia kipato.
Mimi upande wangu niliwahi kudanganya...
Siku hizi watu wako makini katika kutoa namba za simu. Ukitoa namba yenye makosa unaweza kupishana na lorry la mshahara.
Enzi zile mtu akikuomba namba kama hutaki juzoeana nae unatunga namba...
Hii ni bidhaa ambayo baadhi ya maduka tarehe 13 yaliishiwa. Ila kwa ujumla hii ndio bidhaa ambayo imevunja record ya mauzo wiki hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna thread humu jukwani nimeona inaongelea majina ya ajabu ajabu ya Wakinga wa Makete mkoani Njombe, akina Bonet Sanga, Diff Nyaluke nk. Lakini naona majina ya Wasambaa wa Lushoto na Korogwe ni...
Wakuu habari ya leo, natarajia kutembelea mkoa wa Geita weekend hii, Je ni maeneo gani mzuri sana ya kula bata yenye huduma zote yani nafikiri tumeelewana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko najiandaa nilale maana nimechoka sana weekend hii. Kama kuchakata nimechakata leo asubuhi. Wewe je unafanya nini?
Cc Zero iq
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetua hapa Portugal kwa muda nafanya ziara ya muda mfupi yaani kuna totozi sio mchezo nimejaribu kuchunguza sijabahatika hata kukutana na mtoto mbaya.
Wakuu kama huna pesa ya mawazo njoo...
Mfano umeamka asubuhi pesa uliyobaki nayo ni shs 4,600. Huna pesa nyingine.
Panga BAJETI yako ya chakula kwa siku nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello Momma,
As i dwell in the land of the living, I wish to give a token of gratitude to a very special person who have been at the epicenter of my success. Dearly, I inscribe these deepest...
Ni aina gani ya camera nzuri kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Naomba kujua pia Kama Kuna madhara na faida ya kufunga camera.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.