Baba mama na mtoto wao wamelala ghafla usiku
Mtoto: mama nataka nikakojoe
Mama: chukua tochi ukakojoe
Mtoto akanyoosha mkono anatafuta tochi kumbe baba kalala uchi mtoto akashika naniihino ya...
Asilimia kubwa ya daladala za dar makondakta huwa wanakataa kubeba wanafunzi zaidi ya watano.. Akishabeba wawili watatu hataki tena kubeba wengine na nafasi ipo anachukua watu wazima eti kisa...
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.
Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi...
Uko wapi mkuu ?!
Mara ya mwisho kuteta nawe uliniambia unanipenda kabla sijakujibu ukawa "jiiii.."
Rudi nimekukumbuka sana[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Hivi Bongo kuna sehemu gani kule ndani ndani, nyuma ya mlima unavuka pori, unaogelea mito yani ukifika unakuta kijiji kizima hata mmoja hajui Kiswahili?
Maana mimi naamini Tanzania ni kubwa...
Wakuu kuna vidonge vimetoka unameza ili pale unapopumua hali ya hewa isichafuke.
Kuna harufu ya aina nyingi, strawberry, mango n.k
Hata mkibana kwenye daladala uniachia tu yuu-suu-fuuu watu...
Tajiri mkubwa hapa tanzaccm, mwenye mihela yake, mwenye Range rover zake, mwenye benz zake, mwenye Audi zake.
Kiduku lilo mgawa pesa, mgawa samaki, kiduku lilo mtembea angani, nimezikumbuka mada...
Hivi ushawahi kusikia any weird or scary story about a place or thing?? Please share.
Me nilisikia kuna daraja Arusha misikule huwa inakaa kule chini husababisha ajali ili ipate Damu....
Nimeenda kijiweni siku moja baada ya kazi, nikaenda kubadilishana mawazo na kupoteza muda. Kuna jamaa alituambia hiyo story...nikabaki nacheka tu (Nashindwa kuiandika huenda yuko humu JF) kwa...
Aman iwe juu yenu wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Nakuzimikia sana mrembo moderator farida wa jf Mimi kwako nimkufa nikaoza sina ujanja kabisa farida juu yako...
Najua watu wengi sana ambao wapo katika kazi au ajira fulani ambayo kiukweli hawaipendi/hawaifurahii.
Je unapambana vipi na changamoto unazokumbana nazo? Umeweka mikakati ipi kuweza kujinasua...
Habarini
Jamani hivi yupo wapi huyu bidada aitwae Khantwe? Nimemiss ucheshi wake na michango yake kwenye forum.
Mwenye taarifa zake anijuze yupo wapi, Majukwaa yote simuoni!
Bila kunificha hebu niambieni Mimi superbug Nina sifa gani kuu ? Au mnanikubali kwa lipi? Au hamnikubali kwa lipi? Mimi ni Kati ya member maarufu Sana jf Sasa hebu niambieni nyie mnanionaje onaje...
Wakuu mi napenda kujua afya za akili kwa wale tuliotumia hivyo vitu je tupo salama? Mi kiukweli nimeathirika na hapa nilipo akili yangu haipo na nimekuwa chizi wa msimu. Nawasilisha
Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalaamika kuachwa na hamida ...
Huyo jamaa tunamtafuta ,kwa yeyote anaemjua huyo jamaa au mwenye mawasiliano nae tunaomba pls..
NB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.