Watu wa Dar bwana!
Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia
karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta..
Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza
umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe,
utasikia nipo...
Tunaishi uswahilini huku mi na mke wangu ambaye kwa sasa mjamzito waswahili wanatuonea wivu kwa mapenzi yetu ya kizungu
yani tunapendaga sana kunyonyana denda hadharani, hasa tukiona watu wengi...
Habari wana MMU?
Ni kwamba Raynavero ni mwanachama wa JF hasa hapa MMU Pia mika ya 2015,2016 alikuwa ni attendant mzuri sana katika jukwaa hili la MMU.
Kwa muda huo alikuwa akitumia ID ya...
Salaam Wadau!
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kukumbuka matukio yaliyopita.
Tupia picha ili tuweze kukumbuka matukio ya nyuma.
Asante.
Mimi naanza.
Je mnamkumbuka huyu mtu?
Kwanza kabisa namshukuru MUNGU kwa kunipa pumzi ya uhai MPAKA leo hii. Namshukru sana.Wape pumziko la amani, ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wenzetu ambao uliamua kuwaita kwako ili wapumzike...
I missed you so much. Missed the old days. I know the fate but i still hope one day the sun will shine.
From deepest of my heart wish you all the best. My Raynavero @geniveros
Memory restore!
Uswazi noma, kama ulifikiri uswahilini hakuna starehe umekosea sana, maskini jeuri wapo huko, hawapo tayari kushindwa, ni kama vituko, lakini ndio starehe yenyewe. Utawaambia nini!? Nyumba ya...
FRANK NA NESTO WAPO KANISANI...
Frank: Nesto Kwa Nini Mwanamke Yule Ananitazama Hivi?
Nesto: Mwanamke Yupi?
Frank: Yule Pale Kavaa Gauni Ya Bluu.
Nestor: Usimtazame Kamwe achana nae.
Baada Ya...
Kwa wale wenzangu na mimi Bazazi!Wasio wanachama wa vyama vya wagomvi (siasa na dini)
Leo ni siku muhimu sana;
Bia yetu Maarufu "SAFARI LAGER"
Ilizaliwa siku ya leo;
Mama yake ni TANZANIA...
Jinsi ya kula pombe ukiwa ofisini
Agiza matunda yawekwe kwenye kikontena mpe maelekezo muuzaji akuchanganyie na k-vant ndogo chupa moja, nunua potion nyingine ya matunda yasiyo na pombe ili ukiwa...
Habari zenyu wadau wa jf lounge m ninewamis mnooo...
Poleni na naswahibu yaliyo ikuta app yetu pendwaa... wale wakongwe wa jf mupooo akina sakayo na wenzio @emmyta
Shunie
Numbisa
Kichwa...
Leo nilisema niwaige matajiri mchana wa saa 8 nile matunda tu. Muda huu naelekea kusonga ugali. Njaa inauma hadi nimeukumbuka msemo wa wahenga "IGA UFE."
Sent using Jamii Forums mobile app
JF Most famous members of all time
Kiranga Mshana Jr Sky Eclat Ushimen Victoire mitale na midimu Infantry Soldier Influenza Viol Zitto Bujibuji Pascal Mayalla Gyole Humble African Da'Vinci...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea wana jf ambao umri wetu umekwenda na mpka sasa hatujanya lolote ktk maisha hebu tupeane changamoto zinazotukabili
Mie bana nikikutana na watu wanaonifahamu...
Tukumbushane kipindi hicho cha JKT,
"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"
Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..
Aman iwe juu yenu wakuu
Kama kichwa cha habal kinavyosomeka hapo juu
Siyo mtu unajifia fia tu sijui unaumwa ukimwi sijui maralia sijui unaumwa kiyutiai
Au unakuta mwanaume mzima anakufa kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.