Humu kuna watu hutupia uzi za ukweli kabisa,hata kama kuna uongo sawa lkn una tija,lakini sasa kuna wale kila kukicha wana vihadithi visivyo na kichwa wala miguu...sound na uongo uongo tupu ili...
Mimi sifi leo nmeianza mwezi mpya vibaya jaman, yaani leo Asubuhi naamka tu nakuta ujumbe kwenye simu yangu ukisema:
KUANZIA LEO siruhusiwi kukanyaga Kariakoo Shimoni kwa sababu zifuatazo!
-...
Dar internet ya TTCL inakata kata sana na speed yake ni ndogo sana kwanini?
Lakini huku Mbeya nimekuja jana lakini nimeona tofauti kubwa ya speed ya internet ukilinganisha na Dar hii ina maana...
Salaam Wakuu Weekend hio Imeanza Leo Mambo Mengi Muda Mchache Embu Tucheke Na
Pompeo Tunategemea James Delicious Aitwe Bungeni Kujibu Barua Yake Alio Tuma US (Kidding)
Usipite Bila Kutumia pic...
Wakuu salama hapa.
Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.
Heri ya krismasi na mwaka mpya.
Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
Hakika januari hii ilinikimbiza kasi mno, sitousahau mwezi huu, nilipungukiwa tsh laki mbili ikanibidi nicheki kwa rafiki zangu, niliwasiliana na watu karbia 20 bila mafanikio, nmegundua kuwa na...
Dah bandugu n kwel mafanikio sio kwa kila mmoja ila inapofikia hadi mlo ukawa mgumu sasa hapo ni bora kufika china au popote nipate hela ya kujikim natanguliza shukran ndg zangu hebu nisaidien kwa...
Habari wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa kautafiti kangu kasiko rasmi hasa nikiwa kwenye daladala au kagari kangu ka bei mbaya, nimeshuhudia wengi wa wadada /wamama (sio wote...
Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida .
Mfano mafua makali
Kichwa kuuma
Mwili kuchoka haraka...
Kilevi pendwa cha asili kinachotumiwa na watu wazima huko vijijini hapo zamani... Baadae kikaja kuwa umaarufu kwa wamasai na sasa ndio Kama fasheni kwa vijana wa kileo(maybe kutokana na vyuma...
Weka maoni yako hapa.
Nisiwachoshe I wish nipate experience zenu mazee na sister duu's mlioishi maghetto.
Hii imekaaje kwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa kisemavyo nijikite moja kwenye mada,haya ni baadhi ya mambo yanayoñikera humu JF pindi nifunguapo Uzi.
Nimekuwa nikifungua Uzi kisha natiririka na comments ili kupata mwanga wa jambo...
Naomba nishee nanyi kuhusu hili wakuu.
Leo nilipata nafasi na kukutana na mshkaji wangu sana tuliesoma pamoja elimu ya shule ya msingi kitambo hicho.
Tukasalimiana pale kwa kuwa ni muda sana...
Wakuu,amani kwenu...
Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding.
Mi nakumbuka maneno kama:
1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one
2.Kufufuka=kuamka...
Jamani huwa ninavutiwa sana na misemo ya kwenye khanga.
Mfano:
1.Hata ng'ombe alikuwa ndama
2.Wao majungu,sisi kazi tu!
3.Ukiona manyoya ujue kashaliwa!
Kama nawe unaikumbuka mingine ongezea hapa!
Unadai au unadaiwa uje hapa, bila kificho sema tu unamdai nani kiasi gani akisoma hapa ajue anadaiwa na anapaswa kulipa.
Mdaiwa usiogope kumwambia (mchane) jamaa anaekudai hapa kama utamlipa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.