Kutapeliwa ni kubaya lakini asilimia 90 ya waliotapeliwa walikaribisha mazingira ya kutapeliwa wakiongozwa na tamaa na kutotaka fikiri. Lakini wapo kadhaa ambao waliibiwa Kitapeli kwa kufuata utu...
Kwa hili serikali lazima iwajibike. Pia lazima tuandamane tupate serikali nyingine!
Haiwezekani Aston Villa Wazungu wanamnyima pasi champions boy Samatta halafu serikali inaangalia tu...
Tunao mkumbuka chid benz kwa ngoma kali Hip Hop tukutane hapa.
HipHop standup Forever
Chi chi chi chid Benziiiiiiiii.
Love song yupo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini za asubuhi wakuu poleni na majukumu
Leo nyimbo ya ndugu zetu weusi weusi wapoloooh imepata bahati ya kuskilizwa na mimi maji ya gundu, Nilioyaona kwene hii nyimbo ni haya
moja: Beat...
Kuna upepo wa majina ya kimuvi muvi, tamthilia n.k
Mim siwez kuja kumwita mwanangu majina hayo
Kuna jamaa amedhamiria kumwita mwanae Kobe, sawa...
Mfano wa majina hayo yaliyovamiwa na waswahili...
Kwanini unakojoa bafuni wakati unaoga [emoji20][emoji20][emoji20]
Kwanini usikojoe kabla chooni?
Sema kweli!muaibishe shetani Kama huwa unakojoa bafuni pia[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using...
Vijana wenzangu nawaambieni mkiona kijana amefanikiwa kwenye kile unachofanya inabidi umheshimu sana. Hii nchi ngumu sana. Wachawi wengi sana. Naamini kama vitendea kazi vingekuwa vinapatikana kwa...
Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
Aaahh! Jameni wacheni tu, mamboo ni bam bam. Leo amekuja mwanamke mzuri dukani kwagu mpaka kiu ilikata yeyewe. Nilimwambia achukue tu nguo anayotaka maana ni mzuri, kwa kweli ni mzuri sana...
Mimi naanza kwa hizi chache; unapotaja taja na wilaya au mkoa inapopatikana
Senge Secondary School - Singida
Chawi Secondary School - mtwara vijijini
Sengenya Secondary School - mtwara
Mkunya...
Leo asubuhi katika pilika pilika za upandaji daladala Segerea stand, nikiwa ndani ya daladala kushoto kwangu alikuwepo dada mzuri kweli mweupe, aliyekuwa amevalia kitenge safi sana very smart, na...
Habari wanazengwe!
Hebu tukumbushane hii habari ya miaka hiyooo.
HIVI KWELI GARI LA NYONYA DAMU NI KWELI YALIKUWA YANAKUJA MASHULENI?
Nakumbuka siku moja nikiwa darasa la tatu mwaka 1994 kuna...
Ni rahisi huku kwetu kuweka chakula kwenye sinia watu wale kwenye majamvi. Kama ni single plates basi zipakuliwe jikoni watu watolewe.
Huu utaratibu wa watu kujichikuliia nyama wenyewe, ni watu...
Hello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?
Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport...
Hello! Mabib na Mabwana, habari za siku nyingine mpya? Naamini ladies and gentlemen mpo salama kabisa.
Kwa mujibu wa kichwa cha Thread hii bwana, kutoka mtaani kwetu nimeshuhudia vimbwanga na...
Mtoto wangu anakua, kanazidi kuwa karembo. Kanapendeza kamechukua uzuri wa mama yake kabisa. Nakaona nakaangalia nasema hiiiii, baghoshaaaa!
Sasa nmeona niwe mstaarabu.niwe muungwana. Wanasema...
Unaweza kufanya chochote hapa duniani na ukafanikiwa.
"Kila siku kabla ya jua kuzama samehe wote waliokukosea ikiwemo na wewe mwenyewe, ukiamka kabla jua kuchomoza itakase siku yako na jitamkie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.