Wakuu,
Majuzi kati nilienda kumsalimia kaka yangu. Kaka huyu anaishi na mkewe na watoto wawili wa kike. Hawajafika miaka kumi.
Kwa bahati mbaya wakati nafika mkewe braza (shemeji) naye alikuwa...
Kuna wadau humu miyeyusho sana.
Taja tabia usizozipenda kutoka kwao hivyo wajirekebishe.
Kwangu hawa nawaona miyeyusho sana
1)Sexyles
Huyu anaboa mara anajifanya wa kike mara wa kiume...
Habari members,
Hua najiuliza hili swali mara nyingi kwamba Member wa JF huwa mnachangia mada mkiwa wapi mnajifungia ndani au?
Mana napanda daladala hampo, bar hampo, kila nnapokaa kwenye...
Mimi naamini kabisa humu wanawake wa JF ni warembo kwa kuangalia avatar zao tu inaonesha wengi ni macutee. Maana watu huweka avatar ya picha zinazoendana nao.
Aisee salaam,
Habari za Jumapili wadau. Niende straight to the point. Mbeya baridi ni kali kweli kweli. Nipo hapa maeneo ya juu kidogo hivyo ninaipata baridi kinyama. No wonder Mbeya na Njombe...
Eeeh ndiyo, nitakuwa kati ya wale Watanzania asilimia moja (1%) wanaotumia usafiri wa anga. Yaani ukikuta Watanzania mia ni mmoja tu aliyewahi kutumia huu usafiri wa anga.
Heri ya mwaka mpya.
Hivi nyie mnawezaje? Mimi zimenishinda kabisa.
Msiseme mimi mtoto, nina miaka ya kutosha tu lakini kwa hizi bia nimenyanyua mikono.
Nakumbuka utotoni baba aliacha bia mezani...
wana jf poleni na mihangaiko ya maisha nilikuwa naomba kuuliza izi tv za home tech ubora wake upo vipi maana uwezo wa kugharamia samsung, LG wengine huo uwezo hatuna nilikuwa naomba kujuzwa ubora...
Sifa zake:
Inanukia vizuri
Kumvutia mlaji kuwa na hamu ya kula chakula hata kama hakuna ladha.
Inaongeza namna ya kifikiri...
Ni tamu, kuwasha kwake ndo utamu wenyewe.
Inapatikana kwa wingi na...
Habari wanajamvi ,nimeona nivute kigoda niwashauri .Kwa sasa wengi mme invest kwenye kubanjuana na kulialia kisa mapenzi ,wengine mnaenda mbali mechi za ugenini mnacheza peku peku jalini afya...
Sisi ndio wale watoto Mama zenu walikuwa wanawaambia msicheze na sisi halafu tulipokuwa wakubwa wakaanza kuwaambia kaa vizuri na wenzio watakupa maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ungekuwa wewe ndiye MCHAWI uchague moja kati ya hivi:
MOJA
Ubuni teknolojia ya kufanya shamba lijilime, lijipalilie na lijivune
PILI
Ubuni teknolojia ya kufungua mlango wa mtu (ikiwemo wa...
Kila mmoja anapenda starehe; kila mmoja ana starehe. Starehe ziko kila mahali, kinachotofautisha ni madaraja tu.
Kwenye vibanda umiza ndio kuna starehe za bei ya chini kuliko pengine popote pale...
Naiona February ya mwaka huu iliyosheheni neema kwa upande mmoja huku ikiwa imejaa sintofahamu kuuubwa kwa upande mwingine.
Ok tuangalie upande wa mema na tumshukuru Mungu muumba wa vyote wakati...
Yule kijana mwenye makeke mengi kuliko wote humu jf amerudi Tena baada ya mapumziko ya lazima ya mwaka mpya Sasa naamini jf itachangamka Tena upyaaa ukiwa na stress nenda kamsemee hovyo mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.