JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanajukwaa habarini za leo! Ninaomba kufahamu kama yupo mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake, maana nimewahi shuhudia wanawake wenye ndevu tu.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimebahatika kama kupata wawili tangu tamko litokee. Mmoja yuko njiani.
1 Reactions
8 Replies
877 Views
Sawa tusubirie ramlii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukipata pesa iheshimu, si kwakua una mamlaka nayo basi uitumie unavyotaka, hapana. Kabla hujatumia pesa jiulize Kwa nini? Nani? Wapi? Wakati gani? Ukishapata majibu yapime yakileta maana ndiyo...
3 Reactions
3 Replies
709 Views
Aikeli -asante Mungu Aika* - asante, jina la kike. Mkunde* -mpendwa, jina la kike. Elisante - Mungu asante. Manka*- mtoto wa pili wa Kike, Mami* - mtoto wa kwanza wa kike. Asante - maana yake...
4 Reactions
75 Replies
29K Views
Unapojikuta ki-baby walker chako cha mkopo kimelivaa gari la waziri kwa bahati mbaya na kimsingi wewe ndiyo mwenye makosa, na hapo unaambiwa lazima kulipa na kesi juu. Mkopo wa gari ndo kwanza...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Heri ya mwaka mpya. Nipo Dar siku 3 sasa nimetingwa kidogo majukumu ya ofisi n.k ila nashukuru nlipokelewa vizuri na member mmoja wa JF weekend hii tulikuwa wote tunakula Pizza pale Pizza Hut...
46 Reactions
42 Replies
5K Views
Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu 25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe, Maana pombe imewaangamiza wengi. 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, Na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi...
5 Reactions
17 Replies
7K Views
Mimi ni muuguzi, kuna siku tulipokea mgonjwa, mwanaume wa miaka 67 ameletwa hospitali na polisi baada ya kumkuta akitembea barabarani akiwa amevaa boxer tu. Aliletwa wodini baada ya assessment ya...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Huwa Kama binadamu tunafanya makosa mengi tu. Lakini kuna lakini kuna jambo jengine huwaga hukosei je ni lipi hilo? Mimi binafsi niwe mkweli makosa nimefanya mengi. Lakini la kuondoka kwenye...
2 Reactions
14 Replies
832 Views
Dalili za nchi masikini: Uwepo wa redio FM kila kona Msafara wa Rais unakuwa na gari nyingi kupita kiasi Kila mtu anajenga nyumba/ kijumba Wananchi vichwani kunawaza mpira Matumizi na mapato...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
SAVE THIS CALENDAR February 2020 S M T W T F S 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 [emoji533] [emoji381] 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 Only A Few Will Understand! [emoji23][emoji23]...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo nilipata muda wa kuchati kidogo na jamaa yangu ambae nilidhani yupo Dar es salaam kumbe kapata kazi nje ya nchi na hapa nyumbani alikuwa mfanyakazi wa umma. Huyu mkuu anapiga kazi hapa hapa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninafanya kazi za usafi wa kufagia na kudeki ofisi ya boss wangu, nikimaliza usafi huwa namsaidia kupanga...
5 Reactions
174 Replies
17K Views
There are known knowns and unknown knowns, there are also known unknowns and unknown unknowns... The things we know we know and the things we don't know we know plus the things we know we don't know.
1 Reactions
6 Replies
486 Views
kwenye mkusanyiko huu wa watu wengi mashughuli duniani umefanikiwa kumtambua nani
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Unakula matunda? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
0 Replies
1K Views
1)Kwa pamoja tumeamua kuwa mabaharia wote Tanzania tusitongoze wanawake wanaoitwa Hamida kwa miaka mitano hadi pale Hamida aliyemtesa baharia mwenzetu atakapojitokeza na kuomba radhi 2) Ndugu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wengi tunatumia JF huku tukijaribu kuvuta mfanano wa wadau mbalimbali humu unaweza kuwaza yuko hivi kumbe yuko vile. Kupitia huu uzi tunaweza kidogo kujenga picha akili unafanana na nani huwenda...
11 Reactions
204 Replies
28K Views
Back
Top Bottom