Uzi huu ni maalum kwa cc members wa jf ambao hatupendani kabisa na tunapingana na kukinzana kweli kweli katika siasa.
Lengo lake ni ku absorb machungu yetu na TOFAUTI zetu.
Ule mkinzano tulionao...
Facebook mtu anaandika yuko north Carolina kumbe anaisha mbagala rangi tatu!
Shikamoo Facebook[emoji23][emoji23]
Mwingine kasoma Harvard university kumbe kamaliza Shule ya msingi kiembe...
Sometime wakinadada mnaboaa.
Watu tunakuwa serious (kuboresha mawasiliano) ila mnaletaga nyodo sana.
Waswahili walisema kubali wito kataa maneno maana yake we toa namba utachagua wewe kumsuport...
Inahuzunisha yaani kila mtu ofisin leo kaja na jacket au coat zito. Mwanaume kabisa hali hii unakuja unatetema umejikunyata kama kifaranga cha kuku.
Come on... Hivi kuna baridi gani la kuvaa nguo...
Salaam wakuu
Miaka ya nyuma kidogo,baada ya kuacha kazi katika mazingira ambayo sikujiandaa vema,niliyumba sana,kiasi ilibidi nirudishe mpira kwa kipa...(nilirudi home kwa mzee)
Mzee Ni mkulima...
watu hawa wana tabia zifuatazo
1. hawapendi kuongea sana na akiongea anauhakika wa jambo
2. hawapendi kujichanya sana
3. ni wazuri sana katika kushauri
4. wabunifu
5. wanatafakari kwa kina sana...
Watanzania tuna namba nyingi za kukariri
1. Namba ya ubatizo
2. Namba ya kipaimara
3. Namba ya mtihani form four
4. Namba ya mtihani form six
5. Namba ya chuo
6.TIN number au namba ya kitambulisho...
Eti mwaka 2020 katika uchaguzi mkuu vitambulisho vya NIDA vitatumika katika kupigia kura,wapiga kura watakua wengi mno,na ushindi wa kishindo utatokea.
Hizi ndoto jamani,sijui kwanini imenirudia...
Nilikupenda sana na ulinirahisishia mambo mengi katika maisha yangu. Niliweza kufanya mipango yangu nikiwa popote bila kufika, kupitia wewe nilifanya miamala, nilipiga soga na ndugu, jamaa...
Zamani kila mwaka nilikuwa nasoma nyuzi za watu kukutana live.
Wakuu nini kimetokea kiasi kwamba hatuhamasishani kukutana na kuburudika kama members tukiwa live.
Au kiwango cha upendano JF...
Habari wakuu.
Najua JF ni bahari. Kuna watu wote humu, sasa shida yangu kuu ni kujua asili ya kiapo maarufu cha ndoa; "Mimi nchikavu nimekupokea wewe le mbebs uwe mke wangu wa ndoa". Hicho...
A man fainted infront of KCB bank yesterday and people rushed to help out. Someone said, " lets pour water on him" and to the surprise of many the man replied,"don't be an idiot, if l wanted water...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.