Natania lakini.
Hivi wataalamu wa mambo ya SAYANSI hamuwezi mkabuni kwa kutengeneza BOMU zuri la kisasa lenye size ndogo lenye uwezo mkubwa sana hivi ambalo ukilituma mahali popote duniani...
Siku mbili zilizopita RRONDO nimetimiza miaka kumi ndani ya JF. Wengi huwa wanauliza kwanini nimejiita RRONDO ni Rajon Rondo ambae nilikuwa nafananishwa nae kwenye basketball court.
Katika miaka...
Namsikia jamaa hapa kakaa seat ya mbele kwenye daladala analalamika kwa aliyekaa naye pembeni kuhusu mada zake kuwa zimejaa comments akiambiwa "HATUKUELEWI"
Nilitaka kumshtua ila nitapotezea...
Mm ni kijana wa miaka 25 nilihitimu shule ya secondary 2012 na kupata matokeo ya div iv 28 yaan kisw D.civ D.geo D. Phy D chem D hist D b/math f Biso D. Eng D na baada yakumaliza tu nilisoma corse...
Leo naomba tuambiane visa mbalimbali ambazo tumekutana nayo kwenye nyumba za kulala wageni (guest houses) ambazo kimsingi umeshindwa kuelewa kilichotokea kwa macho ya kawaida.
Binafsi nitaelezea...
Jamaa mmoja alitembelewa na rafiki zake geto, kama unavyojua hii januari jamaa alikuwa juu ya mawe, anafunga mchana anafuturu usiku.
Sasa kama unavyojua wakija wageni hata kama unalala njaa...
Unajikuta mwanaume upo kwenye Hiace, unanunua Ukwaju wa Azam unaanza kushusha taratibu, mara ghafla paap mdada anaingia ndani ya gari na yeye kashikilia ukwaju anaunyonya taratibu, ukimtazama...
Kwa masikitiko makubwa ninawakumbuka wale wote waliopata division 0. Haiku a anaewaongelea kabisa vijana wetu hawa Vaasa ya kazi kubwa waliyoifanya.
Miaka minne shuleni uzungushe yai na...
Nimepambana Weeeh Nimesimama sana tu lakini naona mambo hayaendi na siku Ndio hizo zinakwea
Jamani Tusishangaane KUANZAI TRH 20
Tukifanya miamala majina yakaja ya kike wakati mtu na wa kiume...
Ni salamu za wagonjwa, tunawapa pole.
Wazima na na walio salama tunawapa pole.
Pole ziwaendee wagonjwa wote, tunawatakia afya njema.
Salamu hizi ziwafikie hata wagonjwa wa CCM.
Maendeleo...
1. Wenye kazi vs wasio na kazi
Hasa vijana waliomaliza vyuo vikuu dhidi ya waliopo kazini ni kuoneana kijicho.
2. Waliosoma vs walioukumbia umande
Utasikia jamaa kasoma ila hamna kitu bora ambao...
Heshima zenu wakuu,
Ni kama juzi tu ila siku zimeyoyoma, ilikuwa mwezi Juni kama sijasahau ikawa agizo la kukamilisha usajili ni hadi Disemba 31 mwaka huu watu wewee utasema tumeshinda bingo...
Yule jamaa aliyetikisa miaka ya 2017 anasikika live kupitia RFA nadhani tumsikie kama atakuwa na jipya au ni yale yale ya upigaji.
Namsikia anasema amekuja kivingine 😂 eti, muinjilisti 😂.
Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?
1. Hauwei
2. Iphone
3. Samsung
4. Tecno
Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe...
Utumishi wa umma ni msala asee, usipochukuwa hatua za dharura unaweza kumdalalia mkeo ili tu kuendesha familia[emoji852]
Hivi Ikulu huwa haina syllabus wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
This is what happened to me during the season
In the situation after i accidentally managed to meet with my ex, i moved too much and my thing went out, in the next push it went all the way in the...
Wakuu, salama?
Kwanza niseme hivi. Usiku wa kuamkia leo kama ningekuwa na mguu wa kuku, basi ningemwaga ubongo wa mtu!
Ilikua hivi: Baada ya kuangalia mpira wa Simba na Mtibwa, ikabidi...
Pale katika jengo la club ya Simba mtaa wa Msimbazi kwa chini kuna jamaa wamepangishwa wanafanya betting nahisi Mwenyekiti na mwekezaji pesa zake 4 billion watu wanabetia pale chini.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.