Kuna uzi wa jamaa mmoja wa alikuwa anajihita shy one huyu jamaa bhana alinifurahishagha na story yake mmoja hivi kuwa alipofika Dar akaamua atafute sehemu ya kujiliwaza kwa maana ya madada poa...
Wazee kwa hii ya awamu ya tano na kuisoma namba huku, nazan mpo pamoja nami kuwa hii ndio bia bora na inakuja kwa kasi ya ajabu sanaaa
Kadri magu anavyo zidi kukaza ndivyo FASTJET inapozidi kuwa...
Tumekaa sehemu moja tunakula mchana, katikati ya jiji kuna vyakula vya kiasili. Alikuja dada mmoja na mwenzie, yeye kavaa sketi fupi sana. Basi akakaa usawa wa mbele yangu, akala akawa amebaki na...
Watanzania wenzangu niombeeni,
Nawasihi nioombeni pia tuombeeni team nzima tunaoenda kutathimini matokeo ya shambulio la Iran kwenye kambi za kijeshi. Nitawapa idadi kamili ya madhara na vifo...
Dear readers call me harsh, but I'll do what i have to do. To break to you the process of writing a novel. Only bare bones. No bullshit!!
It takes ten days to do thorough research for a story you...
Mama wa kizungu: James go to your room i want to talk to our visitor
James Malcom: Okay mom
MAMA WA KIAFRIKA
Mama andulile: 👀
Andulile:👣👣👣
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliuanza mwaka kwa malengo ya kuacha pombe. Haukuisha mwezi nikaendelea. Nikijiwekea lengo kujenga vyumba kupangisha, ikaja mipango mingine mingi, nikaachana na ujenzi. Nikapanga kuongeza ng'ombe...
Wakuu, nawaletea vituo vya daladala vyenye majina maarufu karibu kila mkoa hapa Tanzania.
Shule, Kanisani, Kona, Kwa Bibi, Chama, Makaburini, Msikitini, CCM, Njia Panda, Gereji, Msaada Tutani...
Natumia tv aina ya solarmax single glass screen inch 32 lakini remote yake imezingua nimejaribu remote kibao zimegoma mpaka universal mpaka nimechoka. Kama kuna mtu anauza remote za solarmax kama...
Siku nyingine baada ya kula mlo mmoja tu na muda mfupi tu baada ya kuzipitia jumbe fupi za zamani kutoka benki fulani hapa nchini ambayo nami nilikuwa mteja wa muda mrefu sana.
Nikikumbuka...
Wale wanaoishi mitaa hii tuna maisha yetu dizain flan ivi hayapatikani kokote. Mfano una hela au huna utakula tu japo kwa jirani,huna mke demu utapata tu,unaweza zuga kusonga kaugali kadogo halafu...
Kati ya kauli ambayo hutumiwa na wanywaji ni ile inayosema "Tukutane Mtakuja Bar ili nikupe mchongo"
Hivi michongo hiyo huwa ni ipi ambayo mtu akiwa hanywi pombe hawezi kupewa?
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.