JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ile penati aliyopiga Makame tuombe mpira usitue Iran tutakwisha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Top 20 ya members wenye meseji nyingi kuliko wote jamii forums 1. RUTASHUBANYUMA(JF-Expert member) Message: 169,603 2. NUMBISA( JF-Expert member) Message: 151,963 3. MSHANA JR(platnum member)...
21 Reactions
209 Replies
11K Views
Si mtoto, kijana, si mzee...wote tupo kwenye kipindi cha mpito (transition period), kipindi chenye kila aina ya msoto, funzo na shida za kila aina. Watu wote kwa kada zote wanalalamika ugumu wa...
2 Reactions
13 Replies
905 Views
1. Mgogoro wa Iran vs Marekani 2. Kifo cha Sultan Qaboos wa Oman 3. Kuvunjika kwa ndoa ya Stamina 4. Wachezaji walikuwa wanawaza kupata namba za Nida mfano ni Aishi Manula...
1 Reactions
0 Replies
896 Views
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu niende moja kwa moja kwenye maada Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31, nahishi Dar Kumetokea sintofahamu kati yangu mimi na mzee wangu (baba yangu...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Kila mtu ana sehemu yake ana mipango wengine bar, kitandani na nk. Mimi binafsi mawazo ya mipango yangu naipanga nikiwa 1) Kitandani wakati nautafuta usingizi 2) Katika Daladala 3) Chooni...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu hali ni mbaya! Baada ya kuweka heshima vijijini huko Moshi kipindi cha Krismasi na mwaka mpya, ambapo ilikuwa ni mwendo wa kuchinja mbuzi, bia kwa wingi, na kufuru za kila aina, sasa cha...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Huyu jamaa bwana alikuwa mchumba wangu, mchumba kweli yaani pale ningetaka ningepata makaratasi ya ndoa kabisa. Siku ilikuwa Jumamosi nikaenda kwake alikuwa ameenda China so aliniomba nikamfanyie...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Huu umri sitakaa niusahau, kiukweli ni umri mdogo ila nimepitia mambo makubwa ambayo sitataka wanangu waje kuyapitia na naamini haitakuja kutokea. Katika umri wa miaka hiyo ilikua kati ya...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za weekend wakuu Changamoto yangu haswa kubwa ni hii Mimi ni binti wa kwanza kwa mama yangu tumezaliwa wawili, tumelelewa single parent Ila kwenye extended family. Tatizo linakuja mma...
15 Reactions
102 Replies
6K Views
Je unaweza kuwa lecturer kama una degree? Gpa ya 4.2
0 Reactions
16 Replies
4K Views
habarini wakuu, leo nimeona nizungumzie faida 3 za punyeto ili niwatoe hofu wanachama wezangu wa "chaputa" kutokana na uongo tupandikizwao kwamba punyeto ina madhara, niende moja kwa moja kwene...
7 Reactions
62 Replies
17K Views
I have tested different kind of drinks in the past. Some of them were really good enough. Now I started drinking Ullefurgh. Because I got this one unique and also effective as well. The taste of...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Huwa napenda sana baada ya kugonga msosi wa nguvu mchana mida ya saa saba, naingia chemba naulipua mjani wangu msumari mmoja tu mnene. Nikishaumaliza muda huo huo napiga mswaki kisha naelekea kwa...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuna muda tunahitaji kujifariji..Kuna muda tunahitaji kujiliwaza na kujipumbaza wenyewe..Kuna muda tunahitaji kujitekenya wenyewe ili tucheke tufurahi..Si mnakumbuka ule msemo wa...
0 Reactions
4 Replies
712 Views
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO MENGI YALIKUPITA: 1. Kupakwa jivu kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nataka mujua kama ni kweli uchawi upo ili nijue nifanyeje 😂😂😂
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao. Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Karibuni kwenye hii safari. Huo utakuwa ni mwaka 2030.na dunia itakuwa hivi, Mti wowote ule utakuwa ni kivutio Cha utalii. Wavulana waliooa wabibi watakuwa ni 75% Hakutakuwa na bikra mwenye miaka...
0 Reactions
5 Replies
686 Views
Back
Top Bottom