Goba ni mji unaokua kwa kasi ya ajabu
Thread hii natoa fursa kwa watu wanaotaka kuijua Goba kiundani zaidi kuuliza maswali na wenyeji wa Goba tutayajibu kadri tuwezavyo
Mimi ni mkazi wa tabata chang'ombe, nyumbani kwangu kuna tatizo la umeme na nimefata njia zote hapo mlizoziainisha na kujiridhisha kwamba tatizo la umeme sio INTERNAL. Cha kushangaza ni wiki sasa...
Siku hizi sioni watu wakiongelea sana huu uwanja wa fisi sijui kwa sababu saiv ushabadilishwa na kuwa uwanja wa michezo!!!!
Wenyeji waishio karibu na uwanja wa fisi tupeni updates ili tufahamu...
Ukienda kule Instagram, Twitter na Facebook, followers ndio habari. Hadi watanzania wengine wanauza account zenye followers wengi. Najaribu ku imagine kama JamiiForums ingekua na kitufe cha...
whats up mdada...
uko poa? hebu pokea salamu zangu...
my name is kiwatengu!! from mtwara..al villages! lara 1 today i was think abt u...
heeeh! i'm not mistaken kupost hapa..
with no...
kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojiri Tanzania,.
Je, ni muda sasa kueleza matukio hayo kwa filamu?
Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Ikiwa wapo wataalamu wa masuala mbalimbali na kila...
Kichwa cha habari chahusika, naomba mwenye mawasiliano ya kampuni ya mikopo ya TALA anisaidie nina laki 4 yao nataka kuwalipa.
Natanguliza shukran!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa nini hizi taasisi zisibadilishane watumishi yaani watumishi wa nida waende tcra na wale wa tcra waende nida ili wajaribu kuona jinsi ilivyo kazi kuwapatia watz wote vitambulisho kabla ya...
Jamani naomba mwenye link ya NIN kwa ajili ya kupata namba ya nida.
Nahitaji link ambayp ni current ili niweze kumuangalizia namba Mtu mmoja hapa.
Maana amechanganyikiwa hapa bado siku 3 tu line...
KUMBE Januari Mosi, 2020, ingeleta bonge la kishindo. Diamond Platnumz na Harmonize, walikubaliana kukutana na kumaliza tofauti zao. Alikiba buana akavunja kikao.
Ilikuwaje? Utamu wote uliletwa...
Kwa wazima moto kama mimi vipi hali ya usajili hapo kwako.
Mlimani city mashine zimejam! Tupo tu tunatoa macho hahahaha, tupeni pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe nanyi wakuu.
Leo nimeota nipo kwenye tamasha la muziki natumbuiza. Baadae nikaota niko tafrija ya mziki. Baadae tena nikaota nakula chakula.
Naomba mnisaidie nini maana ya Ndoto hizi...
Kiukweli sijui tatizo nini ila kitu nilichogundua asilimia karibia zote watu wafupi hawapendi kuelekezwa, ni wabishi mnoo hata ukimkosoa sehemu flani kama anakosea anaona kama umemdhalau na...
My attitude toward guns:
They are dangerous things that only the well trained should be allowed to possess.
This should be the only restriction on firearms.
People then ask: "What about crazy...
jamani naomba kuwasarimia tena wote umu ndani niende moja kwa mmoja kwenye mada yagu namuna nilivyoko simba asihuwawe na wanainchi kipindi niko kwa bibi yagu ngudu.
Nakumbuka irikuwa muaka 209...
Miaka ya tisini (1990s) swala la kumiliki television a.k.a video ilikuwa ni tatizo ni familia chache sana ambazo zilizokuwa na uwezo wa kumiliki, hivyo kuifanya ni bidhaa hadimu kwenye mitaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.