Nirisoma adi darasa la saba hila najuwa mambo mengi kuusu maisha. nakalibishwa masuali yenu. nivumiliaenani katika muwandiko wagu piya na ware ambawo wanakasirika nisameeni sana.karibuni?
Huyu mbwa wetu aliitwa Popi alikufa mwaka 1980 January 22 nimefukua mahali alimozikwa leo baada ya miaka 40 nimemkuta kalala vilevile ila ni mifupa yake.
Pumzika kwa amani Popi.
Sisi Kama...
Jf ni kama familia, muda mwingine tuna hitilafiana, muda mwingine tunakejeliana, muda mwingine tuna taniana, tunapeana ushauri na wengine wameenda adi next level wakawa wapenzi
Naomba tusameehane...
1. Uhuru - Lugola ajiuzulu uwaziri
2. Mwananchi - Lugola atumbuliwa kwa aibu kubwa
3. Tanzanite - ???
4.
5
6
Wakuu hebu tuendelee kubashili vichwa vya habari kwa kila gazeti
Habarini ndugu zangu humu ndani, najaribu kuwakumbusha mamlaka husika hasa za Simu, TCRA pamoja na NIDA kuwa makini sana, vinginevyo tutarajie watu kupata matatizo ambayo sio ya kwao.
Bado...
Naizungumzia tarehe hii ya 23.1.2020 na hii ni ikiwa kama mshahara umetoka au utatoka.
Ukiisahau hii tarehe ya leo basi utasema tu kuwa mshahara ulitoka siku ambayo Kangi alitumbuliwa na hapo...
Yaani nachukia mijusi balaa, hata nikiona kinyeshi chake ndani tu mfano bafuni aisee huwa siogi. Nikiona hata wakati nakula huwa nashindwa kula hata chooni natamani kukimbia.
Kinyesi cha wanyama...
Uzi huu utaonekana una udini kidogo, lakini kikubwa ni kuwa nataka kuonesha jinsi gani wakati mwingine tunachokitaka sisi binadamu katika maisha hakina umuhimu sana na mwisho wake ni mbaya.
Mwili...
Kanuni ndio hiyo,
Mafanikio yako mtandaoni yanapimwa na mafanikio yako in the real World!
Ukitaka kuwa na accounts kama Youtube insta mategemeo ya kupata watu wengi wa kutembelea pg yako...
Uzi wa kimasihara huu.
Nizame moja kwa moja. Pale mkiwa faragha ni jambo gani la ajabu huwa unahisi unamfanyia baby wako peke yako hakuna mwingine anamfanyia.
Huwa napenda kupiga piga Kalio...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo
Kuna vitu vingine wadada hufanya wakizan ni sifa kumbe ni ujinga wa hali ya juu sana. Wanawake wavaa mawigi...
Waungwana naomba mnisaidie kirefu cha Neno "DM". Mfano kwenye kuchart mitandaoni kama Face book ama Instagram nimekutana sana na sentensi " Nifuate DM" sasa kirefu cha neno DM kimenipita mbali...
Usiku mbu wanakuwaga very active mno hasa usiku wa manane kuanzia saa 4 hivi.
Alfajiri huanza kupotea. Mchana hawaonekani kabisa na hawaumi.
Sababu ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini humu kuna watu wengi wa sehemu mbalimbali. Binafsi sijawahi kuiamini hii michezo ya Tatu Mzuka, Biko, kwamba watu wanashinda mamilioni! Hivyo kama kuna yeyote humu amewahi kushinda au...
Wasalamu wakuu.
Kuna baadhi ya watu hawanaga tabia ya kuitika salamu za wengine kutokana na sababu/tabia wanazojua wao.
Ikitokea umemsalimu mtu na ukahisi amesikia Ila hajaitika chini chini huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.