JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
...paka wanja ...anapo vaa heleni ...anapo bana nywele zake Ukiweza leta jibu unapata zawadi.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mwenye taarifa hivi vijikadi vinatoka lini au ndio havipo tena tuandae pesa za leseni au mwaka huu tumepewa msamaha wa kiana au wanasubiri kwanza kila mtanzania awe na namba ya NIDA
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Hello, Siku ya Alhamis tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2016 nikifanikiwa kujiunga na mtandao huu baada ya kuwa mtumiaji mgeni kwa muda wa miaka mingi. Japo ni mika 3 tu niko kama member rasmi...
23 Reactions
143 Replies
7K Views
Nawachapa mods kret 12 za bia
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Mi huwa napenda boss wangu kazini awe mwanaume kwa sababu kwa asilimia kubwa huwa sio wanafiki. Je, wewe unapenda boss wako awe jinsia gani, na ni kwanini?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Haya maeneo viwanja vyote vimepimwa na vimepangwa na watu wanao ishi huko ni wakueleweka. Kama umejenga au unaishi maaneo haya wewe ni wa kishua. Baadhi ya maeneo haya: Masaki Mbezi Beach...
6 Reactions
78 Replies
47K Views
Jaribu kutuma sms(text message ya kawaida yenye neno FREEMAON kwa mtu yeyote yule uone Kama itaenda!! Kwangu haziendi, jaribu ulete mrejesho
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu wakuu, Namshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine sifa na heshima zimrudie yeye, namshukuru kwa ulinzi na baraka zake za kila siku. Familia yangu ya JamiiForums asanteni sana kwa kuwa...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna habaei za ajabu zinazunguka hapa Dar kuwa mzuka wa Amina unaonekana unafanya kazi shambani huko njombe. I wonder kama hii kweli, kwa sababu Amina mwenyewe hata jembe alikuwa halijui, kuna...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
BBC News Swahili menu Wanamgambo wanne wa Al Shabab wauwawa katika shambulizi la uwanja wa ndege 05 Januari 2020 [https://ichef] Image captionUwanja wa ndege wa Manda, uliopo Lamu Kundi la...
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Ulimwengu wa leo umetawaliwa na majanga ya kila aina ikiwa ni pamoja na magonjwa yasiyo ambukiza. Wataalamu wanasema kuwa uzito uliopitiliza, unene na vitambi si dalili njema kiafya. Wataalamu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Dsm ndiko Rais anako chil, yaan yeye ni mwanaume wa DSM. Kwa ujumla safu yote ya uongozi wa kitaifa, kidini, kisiasa, kibishara, kimataifa wote wapo DSM. Sasa wa mikoani kweli mnajielewa...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Nilikuwa darasa la 6 siku hiyo nikarudi nyumbani baba alikuwa Dar, jioni tukasikia honi ya gari nje ya nyumba tukatoka kumpokea, siku hiyo akasema tusiguse chochote tukae mbali akashusha box kubwa...
55 Reactions
138 Replies
9K Views
Faiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada.. Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea...
22 Reactions
84 Replies
4K Views
Yaan tangia juzi ukiangalia habari humu ni simba sijui yanga sijui hirizi sijui manulaa yaan hata mambo ya maana hayajadiliwii . Mpira wenyewe hata hauna lolote . Acheni ujinga huu wa...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
SKIP TO CONTENTSKIP TO SITE INDEX LOG IN LIVE UPDATES Updated Jan. 5, 2020, 2:49 p.m. ET Jan. 5, 2020, 2:49 p.m. ET Iran Ends Commitment to Landmark Nuclear Deal: Live Updates The...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Habari wanaJF, heri ya mwaka mpya japo mwaka unaenda kasi sana huwezi amini leo ni weekend dah, tuachane na hayo. Naombeni msaada maana huyu mdai wangu kawa sugu na misemo ya kila aina. Hebu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanawake wengine bhana, Huyu demu ni wa kutokea hapo singida, Alikuwa anakuja sana hapa kibandani kwangu, Ni mzuri wa sura mpaka umbo kiasi kwamba na ubaharia wangu wote nilikuwa namgwaya...
10 Reactions
75 Replies
6K Views
Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe. Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka... Kipa.. Nyani Ngabu Beki 2: pancho boy Beki 3 Baba Swalehe Beki 4 Bazazi Beki5: rikiboy...
22 Reactions
211 Replies
10K Views
Ukiangalia video ya kwenye harusi ya G Nako kila msanii wa kundi la Weusi alipita mbele kucheza na mwanamke wake. Ila mwanamke aliyekuwa na Joh Makini utafikiri amekutana nae njiani akamuomba...
2 Reactions
42 Replies
12K Views
Back
Top Bottom