JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwakweli sitakuwa mwenye fadhila Kama sitafunga na kufungua mwaka 2020 kwa kumshukuru mkwepu Jr kwa kunipa Mimi binafsi likes na members wote humu. Nakiri kusema Kama mkwepu Jr hajakupa like basi...
33 Reactions
52 Replies
3K Views
Napenda kuwauliza ndugu wana Yanga "Etiii ni kitu gani Simba waliwafanyia huko nyuma mpaka mseme nyuma mwiko"? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, January ndio hiyo imefika, wale wenzangu na mie ambao ada ya watoto ni tatizo mje tupeane mbinu, maana sioni mwanga kabisa.
0 Reactions
9 Replies
882 Views
Nashukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine Mwaka 2019 ulikua mbaya kwangu na nilichofanikiwa kwa mwaka ule ni kupata namba ya NIDA tu. [emoji512][emoji512][emoji512]
3 Reactions
15 Replies
859 Views
Kabila lenye copyright ya hela kwa Tanzania ni Wachagga. Wachagga wanajua dili zote zenye kulipa. Macho yao yapo busy kuona mti pesa uliko. Wachagga wengi ni wachungaji na wanafanya kazi za...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Eti wakuu!!!!kati ya kula kwa ma ntilie na kupika mwenyewe kipi afadhali namaanisha ni kipi kinasave pesa? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
31 Replies
4K Views
[emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519] 1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu...
7 Reactions
92 Replies
8K Views
Labda member fulani alikukela,alikufurahisha,unampenda sana,unapenda michango yake, nakadhalika. Acha ujumbe wowote jwa member huyo either wa kumpongenza au kumtaka abadirike.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari apo juu... naomben lokeshen kaliii yenye privacy ila bei iwe ya kitanzania.. maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi ukoo.. Natanguliza shukran.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Swali liko bayana! Kama wengine wanavyoweka picha vyumbani au sebuleni! Je: Waweza Bandika picha (Laminated) ya mtoto wako bafuni kama ishara ya upendo? Ni sawa au hapana! KWANINI? Maana bafu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunapenda kuwakaribisha mabibi na mabwana wageni kwa wenyeji kwenye tuzo za Jf mwaka 2019 2019 has been a fast year and the competition was tight but lets give a round of applause to our nominees...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Mpo heri ya mwaka Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie? Halafu zote...
20 Reactions
309 Replies
13K Views
Mimi sinywi, Sivuti, Sibeti, sishabikii mipira, Sio muhuni. Just movies.. I'm movies addicted. That's my Entertainment. ... Mwaka unaisha, tunaumaliza hivi kwenye Hollywood.
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Sina mengi ya kuandika kichwa cha habari kinajieleza ,niwatakie heri ya mwaka mpya 2020 ,ukawe mwaka wa mafanikio popote mlipo Na mungu awabariki sana kwangu huu mwaka nauna kama mwaka miujiza...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu habari, Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima. Sasa leo...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Yaani tofauti na ile ngoma ndani ya sikio kuna kitu gani kingine maana nilikuwa naoga maji yakaingia ndani sikioni ikabidi mle bafuni nichezeshe kichwa ile style ya wanaume mapanga shashaaa ya TMK...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji kujua +256785 ni code ya mtandao gani nchini Uganda.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Heri ya mwaka mpya wapendwa, Leo tarehe 1 january 2020 nimefanya kitu ambacho sikuwahi kufanya miaka ya nyuma, naamini hii ndo maana ya mwaka mpya na mambo mapya[emoji23]. Leo wakati naperuzi...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom