Kheri ya "Mwaka Mpya"
Jana nilikuwa kwenye manywaji, nikawa nimekaa meza moja na dada ambaye tunafahamiana lakini siyo rafiki yangu.
Akaja kaka mmoja ambaye ananifahamu. Aka "force" kuninunulia...
Dawa ya Deni ni kulipa ila Branch kwa hizi message zenu za vitisho mnazonitumia hii sio sawa, hao watu wenu wa customer care inabidi wajifikilie mara mbili mbili, deni lenyewe buku tano ila...
Mie Hawa watu huwa najiuliza akili zao huwa wanaziweka wapi, yaani huwa ni zero kabisa.
Mfano
1. Kuna mdada mmoja alikuwa kukaa meza ya jirani na jamaa yake sasa wakaagiza supu ya utumbo si...
Tuko mwishonimwishoni mwa mwaka 2019. Ambapo tumepitia changamoto mbalimbali za kimaisha, wengine hali ikiwa ni Tete na wengine hali ikiwa si mbaya kiuchumi.
Pamoja na serikali kujitahidi kuweka...
Habarini za masiku wakuu, nataka kujua kijiji cha Kalemela Mkoa wa simiyu
1. Hicho kijiji kipo wilaya gani,
2. Kipo kata gani
3. Tarafa gani
Karibuni kwa wajuzi
Sent using compute mpakato
Wakuu habali zenu
Nasomeka gambeni muda huu nina serengeti lite 10,kwa mwana ambae yuko around mitaa hii
niko pub yangu ya kitaanii Gold j pub hapa sinza madukani karibu na jengo la emirate.
ila...
Ndugu zangu,
Leo nipo ovyo, naumwa mafua, nimechoka, siwezi kufanya chochote,natamani kulala sina usingizi. Wenye mapenzi mema njooni hapa tupige stori muda usogee.
Uzi tayari
Ni muda mchache kwa upendo wa Mungu nitatimiza miaka mitano nikiwa member mtiifu wa JamiiForums
Hakika nimejifunza mengi na kukutana na busara na changamoto kedekede.
Uzi huu uende mpaka January...
Tunakumbusha tu Januari inaingia; huwa inaonekana ndefu sana kutokana kwamba watu hutumia pesa sana kipindi hiki cha skukuu bila kufikilia mwezi Januari itakuwaje kwao.
Niwape hongera na pole kwa...
Nawatakia new year woteez mashosti na mabitozi wa humuu.
2020 ni planning jomoni anza ku-make plan zakoo sasaa usijisubirishee sawaaa.
Kumbuka tyu kutekeleza mipango na malengo yako inaanza leo...
Wapenzi wa sani kitaambo sana kipindi cha analojia tujikumbushe majina ya katuni zetu. Kama ndumilakuili=mwizi,sokomoko=mlevi,pimbi=mzee wa mapenzi,madenge=mtoto mtukutu,endelea nilio...
TAHADHARI
Tunapoelekea mwaka mpya 2020 Tunaombwa kuwa makini tusije kosea kuandika 20 ya Mwisho ukaweka Mwanzoni na 20 ya mwanzo ukaweka mwisho.
Mfano: Mtu badala ya kuandika 2020 akaandika...
Habari zenu mmu especially mabaharia!
Nipende kuwa kumbusha ya kwamba wale wanawake waliozaliwa miaka 1990 huko muda wao wa matumizi UMEKWISHA! Hivyo basi hatuna budi kuachana na kizazi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.