Habari wakuu.
Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.
Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya...
Niaje mazee kutokana na upweke nilionao tangu niachwe na mtoto mzuri Shani.
Pita pita zangu nikakuta hiki kidude kibarazani kwa Mzee Limo hapa Kawe nikapita nacho sasa nashindwa jinsi ya kupanga...
Eti Kamusoko na pesa zake zote bado yanga walitamani kumlipa mshahara licha ya John mtoto wa Yusuph kuvuta bangi Kwa kamba aliyopewa na Baba yake.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Usiniulize, hata...
Hawa wenzetu kuna sifa moja inawanyemelea, hawa jamaa ukiniuliza kabila linalopenda sifa hapa Tanzania basi nitakuanzia na wachaga alafu ntafatisha Wahaya.
Siku hizi hawa wenzetu kama ni kupenda...
Hi wanabodi
Napenda kujua hii juice ya ukwaju ni ukwaji kweli au tunakunywa mchanganyiko tu. Na hii maziwa ya asas nayo siku nimeyanywa siku ya pili niliyaacha wazi nikakuta yameharibika inakuwa...
Mpiga picha :mwalimu mkuu, ntakuchaji shilingi 500 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size..
Mwalimu mkuu :mwalimu waambie wanafunzi walete shilingi 1000 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya...
Nyimbo nyingine hata kama umevurugwa vipi ujumbe wake tu unakurudisha njia kuu, hasa ule wimbo wa BUSHOKE, "DUNIA NJIA".
Mimi tu ujumbe wake unanitisha mpaka kesho, yaani ni zaidi ya hutuba...
Wakuu nafikiri mpo poa
Naona zimebaki siku chache tumalize mwaka
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kuwashukuru wote walionipa sapoti hapa JF kuanzia January to December,kwangu huu ni mwaka super...
Naangalia ni wapi tumefanana au tumekuwa na interest sawa na member yeyote
Wanawake:Napenda warefu ,wanene wastani, sipendi weupe napenda black mimi,
Mpira
Club ya Tanzania: Yanga
Uingereza...
1. Dua LA kuku halimpati mwewe.
2.Akunyimaye kunde anakupunguzia mashuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa kwangu nimeshamuandikia hapa mzee baba Jr .
Twende kazi...
Kama kawaida kila mwaka jukwaa la photos huwa linaibuka na ushindi mnono kwa nyuzi bora kabisa za kuondolea stress. Tukiwa tumebakiza miezi michache kufunga mwaka. Jukwaa la photos limeendelea...
Tanzania ni kubwa sana, nashangaa sana pale ninapoona kuna watu wamezaliwa dar, wakitoka sana wameenda kibaha, chalinze au mororogoro, hawajui mazingira mengine, wao wanajua tuu dar, wanasikia tuu...
Hapa nishapigwa nyundo kama 2 hivi, na wote ni wanawake ambao naona hapo baadae wana manufaa, hi ndio hasara ya kujimwambafai maneno mengi sikukuu kama hii unaingia mitini!
Au kesho nizime simu...
Wadau Heri ya Christmas
Msimu huu wa sikukuu kila mtu anapenda kwenda sehemu kusheherekea sikukuu
Na mimi nimejipanga mwaka mpya niende Zanzbar kula mwaka mpya
Naombeni mnitajie maeneo mazur ya...
Wanajamvi nahisi tumemisi kitu katika jukwaa hili na ningependekeza ule uzi wa VAR ya JF wa mkuu mfilisti nadhani utakuja na mambo matamu baada ya kukaa kimya
Nawasilisha na karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.