Kwa wale Wapenda papuchi "in different Variety and Style"....
1. Wapenda wake za watu
2. Wapenda wanafunzi
3. Wapenda makahaba
4. Wapenda ma Bar maid
5. Mnaokula wachumba za watu kimasihara...
Mmoja ya madereva wetu amepatwa na shida kidogo ya kifamilia. Nikaona ni vyema kumtembelea jamaa huyu sababu namfahamu kitambo kabla hajawa dereva wa ofisini.yeye ndo alishiriki vizuri sana...
Habari ndugu zangu maana Watanzania wote ni ndugu. Mimi ni mkazi wa Tanga na siku yangu ya kwanza ya maisha yangu kwenda kupima UKIMWI katka hospitali fulani.
Nimeyakimbia majibu kwa kuwa na hofu...
Wakuu kwema?
Nimepata safari ya ghafla ya kwenda Moshi ambapo nilitakiwa kuhudhururia shughuli fulani huko kesho kutwa, cha ajabu nimeenda hapo Ubungo nimekuta mabasi yote yamejaa mpaka tarehe 24...
Familia imesafiri kwenda kula sikukuu nimebaki alone home. Nyumba yangu niliyoijenga mwenyewe naiogopa. Sijawahi kufeel upweke wa namna hii in my life. Never!
Sijui wale single guyz wanawezaje...
Naona hukwenda kanisani na wewe unampenda Yesu. Sijasikia mahali popote kuwa umekwenda Kanisani jana, kulikoni?
Leo nenda kaombe na kamshukuru Mungu akubadilishe uwe kiumbe kipya kiroho!
Habarini za Tanzania? Wadau nmekuwa kimya sababu nipo busy nchi za watu huku hawana masikhara wanapiga kazi hasa.
Wadogo zangu wanawasalimia maana nilipotoka Swedeni nikaenda Norway, Netherland...
Habari zenu wakuu?
Wakuu kiukweli nampenda sana huyu mtoto mzuri MIMI MARS ambaye ni mdogo wake VANESA x wake Juma Jux.
Hivyo naomba connection na huyu mtoto.
Nakumbuka maisha ya Bwiru Boys miaka hiyo ilikuwa full mikasa.
Kulikuwa na eneo linaloitwa Mombasa, mahali ambapo vijana wa Boys walikuwa wanazama kuwapiga chabo mabinti wa girls pindi wanaoga...
Merry Christmas.
Utafiti niliofanya kuhusu vizinga sugu mjini umeonyesha matokeo mazuri tu. Baharia na mamaria wote tumekuwa walalamishi sana kuhusu mizinga midogo midogo na ya kati.
Acha uzembe...
Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia...
Kuna jamaa kaniuzia skwata bei chee sana! ikabidi ninunue!
changamoto kubwa eneo hilo kulikuwa hakuna njia ya kufika hapo kwangu!
Watu walikuwa wagumu sana kutoa hata mguu mmoja kwa ajili ya...
Jamvi la leo...
Kuku over 6.5
Ugali under 0.5
Pilau over 20.6
Mbuzi win
Maharage lost
Mchicha correct score 0-0 FT
Beers vs normal drinks GG FT 1
😉stake any amount you wanna
maandalizi yameanza huku,tafadhali tuzingatie muda kwa wale wote waliopewa mualiko.
Ni kuanzia saa kumi na mbili na nusu,sehemu ni palepale,hakuna mabadiliko.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent...
Hi everyone in here,
Nianze kwa kuomba radhi kwa kuwashitukiza ktk hili. Nilipanga kuwataarifuni mwezi mmoja kabla ili mjiandae ila kutokana na majukumu ya kulijenga taifa ilishindikana.
Napenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.