JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakati huo ukiwa na TV na deki unalipia leseni T-shirt 1,000 kwa mwaka. James Earl Jones akiwa kama Mfalme Joffre Joffre of Bermuda Kingdom
15 Reactions
88 Replies
7K Views
😂😂😂😂Ila wanaume bana daah kazi ipo. Yaani hufanya vitu vya ajabu hadi unashangaa, ndipo kale kamsemo kanakosema "Mwanaume ana umri wa miaka 22 anaonekana ana miaka 15 alafu anafanya matendo ya...
2 Reactions
77 Replies
10K Views
Don't put me in your eyes coz I may fell like tears, put me in your heart so that every heart beat reminds you that am there for u...! With all my love n cares ...!
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Heri ya Chrismas na mwaka mpya wapendwa wote na Watanzania kwa ujumla. Tumuombe Mungu wetu atujalie upendo na amani katika kipindi hiki cha sikukuu. Ujumbe: Chombo cha moto na pombe ni mauti...
1 Reactions
2 Replies
595 Views
Wadau heshima na iwe kwenu. Natambua wengi wetu hili zoezi lilitupa uvivu kweli na bado mpo ambao hamjatimiza takwa hili la Serikali, niwahimize tu tujitahidi kutumia hizi siku chache zilizosalia...
1 Reactions
4 Replies
670 Views
Chua, Kimario, Shayo, Temba, Temu, Kessy etc. Huendi Moshi?. Nimeulizwa hilo swali karibu mara 10 kwa siku toka Desemba ianze. Kesho natimua aisee.
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Yaweza kuonekana ni story ya kutunga na hata mie nilidhani nataniwa. Lakini ugumu wa maisha ya Mtanzania ulimfanya mtoto wa rafiki yangu around 12yrs aniulize "baba mkubwa mwaka huu Christmas ipo...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu habari za siku, Nilipigwa ban kidogo Naomba kujua nini maana ya jina la hilo eneo? Au kwa yeyote anayejua maana ya jina Kisauke, maana kuna shule huko Kunduchi inaitwa Kisauke. Sent...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A ☝
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Maana ina maneno meeeengi alafu ni fupi fupi Hahahaha!! Weekend njema Marafiki zangu Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
1 Replies
781 Views
Kwa wale wanaoishi hapo mjini, vpi kuhusu vitambulisho vishaanza kusambazwa/kugawiwa kwenye kata husika kwa wale tuliojiandikia this year? Kata kama Rahaleo, Chikongola, Likombe, Majengo, Mdenga...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mshahara utakaotoka mwezi huu ndio huo huo tutakaoutumia Christmas, Mwaka mpya na ndio huo huo tutakaoutumia kununua nguo za shule za watoto madaftari kulipa kodi ya nyumba...ada na n.k...
1 Reactions
3 Replies
498 Views
Wakuu mu hali gani huko mlipo ? Poleni wooote wa mabondeni kwa mvua, hongereni wakulima kwa mvua na wale wooote wanaotafuta uzao hakika hali ya hewa inapendeza. Basi turudi kunako jamvi letu...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa eee hivi Kuna meli inayotoka bandari ya dar es salaam hadi Brazil? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu, Husikeni na somo tajwa hapo juu. Naona kuelekezwa ama jina la Bar yenye nyama choma na muziki mzuri maeneo ya kuanzia Shekilango kwenda kule Kariakoo (Eneo lolote la Magomeni ama Sinza...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Msaada wa kimawazo masaibu ya dunia hii ni mengi, sijawahi kuwa Furaha hata chembe, ni vioja kila siku. Sijui nimekosea wapi?.. Nna imani hii Hali sio ya kudumu ni ya kupita tuu. Yatakwisha...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Wasalaam wajuba kwa fas dwacy apo niaje!!..Hopeful mambo ni OG, Bas bhana nilipigwa ban ya siku kadhaa hivi,but Tarehe 9 mwezi huu niliposkia Rais Magufuli katoa msamaha kwa wafungwa na kuwaachia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
jamiiforum ni mkusanyiko wa kila aina ya watu, wenye uwezo na wasio na uwezo, GT na wasio GT, etc wote hao wanakamilisha circle ya maisha ya mwanadamu {life} Kuna watu kazi yao humu nikutufanya...
27 Reactions
209 Replies
10K Views
Hapo nyuma kulikuwepo wimbi la watu wanakopesha hela kwa riba kubwa hadi 30% kwa mwezi. Pamoja na kwamba riba ilikuwa juu lakini mtu ulikuwa unapata pesa faster unatatulia shida yako maisha...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna siku nikiwa na rafiki yangu mmoja (mlevi mwenzangu) tukaingia maeneo ya chuo kikuu kimoja kwa ajili ya kuosha macho hapa na pale. Ghafla kikatokea kifaa kikali upande wangu wa kushoto...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom