JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuanzia juzi kuna joto kali sana maeneo ya Dar sijui ni mabadiliko ya hali ya hewa au ni nini, wengine mtujuze huko mlipo Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Wadada tunapowahitaji katika kipindi kama hiki mjaribu kuitika wito mapema na kama hauji basi toa taarifa mapema ili mtu afanye alternative nyingine siyo tunawasikilizia baadae mida ishaenda...
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Oii oii Hivi ukichangia chiga au msokoto wowote na demu mwenye UKIMWI kuna maambukizi? Comment fupifupi. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
510 Views
Fikiria huyu angekuwa hapa Tanzania Ama huyu raia wa South Africa Viongozi wetu wanataka wawe kama malaika tusiwaguse.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Najihisi uchovu sana siku ya leo,kutokana na kuwa bize kwenye majukumu ya kila siku.Nadhani ni bora nikatafute huduma ya 'massage' inaweza kunipunguzia stress sizizokuwa za lazima. Wakuu...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu Habari Zenu, Hebu tukumbushane Majina ambayo ulishawahi kukutana nayo yakatushangaza na kukuchekesha...! Mi nakumbuka haya Majina 1,Waisare kichogo 2.Ombeni Mtapewa 3,Girigo Mkundukuza...
1 Reactions
85 Replies
12K Views
*Mungu tumuache aitwe Mungu. Jana Dawasco wakajimwambafai wee. Mara ooh kuanzia kesho jiji la Dar es salaam litakumbwa na uhaba wa Maji. Mara mtunze akiba ya maji mliyo nayo majumbani mwenu...
2 Reactions
0 Replies
958 Views
HABARINI WADAU WA JF Muda sijajikita humu mama mfundaji kutokana na mihangaiko ya hapa napale Nimewamisije hasa CharmingLady , Khantwe , KakaKiiza , snowhite , Mentor (babalao hahaaa) Mtambuzi ...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Inasemekana kwamba kuku anapotaga mayai yake, endapo yataguswa na maji hata kitone tu.. basi mayai hayo 'yataharibika'. Kama ni hivyo mbona hata yai lenyewe linapotoka huwa katika hali ya ubichi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Karibuni wadau. Nashauri kila mtu aseme nini kinaendelea pahala alipo ili kama ni dharura isaidie kufikisha ujumbe kwa mamlaka husika. na kama ni heri labda unakula supu au mishkaki napo si mbaya...
0 Reactions
2 Replies
504 Views
Salaam wapendwa. Kila nikipita naona vibao vya fundi maiko vikielekeza shule zetu. Sasa najiuliza yale maneno wanayoweka pale yanawaumbia nini watoto wetu mioyoni mwao? Mie nimesoma shule isiyo na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Husika na mada tajwa hapo juu,wahusika tujua kwa ajili ya kuweza kupeana maujanja ya hapa na pale
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Majuzi mke wangu alisema mwanetu kafikisha umri wa kuanza kupewa vyakula laini na pia maziwa, asitegemee sana kifua chake. Basi mzee nikazama Nakumatt pale Pugu road, nikaelekezwa sehemu ya...
4 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari zenu, Naombeni msaada anayejuwa zilipo ofisi za Chama Cha Uzazi na Malezi Bora (UMATI) ofisi kuu anipe maelekezo nafikaje hapo mie nipo Gongo la mboto,, Naombeni msaada nahitaji kufika...
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Kuanzia sasa nitakuwa hata nikibeba Chips Waroho ( Wazee wa Kudoea ) hawatoona ndani Kuanzia sasa hata nikiwa nabeba Bangi / Bange au Unga wa Kulevya ‘ Chawa ‘ hawatonigundua Kuanzia sasa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna hali nimeanza kuiona kwa miezi sasa humu ndani. Watoto wazuri wamepungua au mimi ndiye sikutani nao? Hawaonekani kabisa! Sitaki kuamini wazee mnawakeep saana busy PM hadi humu hawatokei...
13 Reactions
132 Replies
7K Views
Kwa marafiki na jamaa wa JF. Mwaka 2018 nilipata tatizo la ghafla na kuugua,na pia sikua na uwezo ama kujiaandaa kukabiliana na hill tatizo.kwani nlitoka kwenye kipindi kigumu cha kumuuguza ndugu...
37 Reactions
448 Replies
25K Views
Aman iwe nanyi kuna hawa washikaji kiranga, Likud na mshana. Hawa jamaa baba yao ni mmoja nahis hata mama yao atakuwa ni mmjo sema tu hawajuani Kwanza sijawah kuwaelewa hata siku moja. Japo...
15 Reactions
218 Replies
16K Views
Hawa wamebarikiwa mikuyenge... Wee akikushika kunako sita kwa sita atakusonga kama ugali atakupekecha kama mtori au mlenda na atakukanda kama mandazi. Ukitoka hapo unaeenda kuweka barafu kwenye...
21 Reactions
249 Replies
15K Views
Mitaa ya Malindi na Pub Alberto hamna amsha popo kama zamani, watu hamna kabisa kwenye hizo club siku za weekend; hata Malaya wanaojiuza wako wachache sana, tena waliopo ni wale wenye sura mbaya...
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Back
Top Bottom