JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa kinavyosomeka huu ni uz wa kujiintavyuuu wewe mwenyewe au kumuintavyuuu yeyote yule Muintantavyuuu yeyote yule unayetaka kumuintavyuuu hapa Then...
6 Reactions
319 Replies
13K Views
Habari wadau naomba ushauri Wadau hivi kununua mbuzi au nyama ya ng'ombe kwa ajili ya christmas mass na mwaka mpya kipi bora? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
826 Views
Alisikika kijana mmoja akisema kwa sauti ya juu......!!! Nanukuu:- "Mkinywa maji ya mto mmoja si busara kuyatibua maji kwa miguu kwani wote mtakunywa Maji machafu! Yanini kutibua maji bila...
0 Reactions
1 Replies
545 Views
Wana jamvi ninaomba ushauri wenu, Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla...
7 Reactions
106 Replies
8K Views
Sekunde 13 za Idd Amin.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Kwa hadithi nzuri na za kuelimisha tembelea CLEVER WEB TZ au DOWNLOAD APP Cleverwebtz
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ivi wale tulikuwa tupenda kwenda East Zoo (Iringa Girls [emoji130] mpo wapi) 1 tupeane code basi...ulibahatika kula pisi ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
728 Views
Hi everyone in here, Unaambiwa dunia ni moja ila majira na hali ya hewa hutofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine. Haya ni maajabu ya Yahweh. Juzi, tulipokuwa tunatoka holiday ughaibuni...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna nini? Miaka mingine, tarehe kama hizi mtaani ni jingle bell tu, lakini safari hii sijasikia. Wauza miti ya mikrismasi baadhi yao safari hii wameamua kuuza ukwaju wa Said Salum Bakhressa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Unajua sijamuona huyu jamaa yangu kitambo sana hadi leo nikajiuliza amekimbilia wapi. Alikuwa anachangamsha sana jukwaa na moja kati ya wadau niliokuwa nawakubali mno. Popote pale ulipo MBITIYAZA...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Mungu ni mwaminifu mnoo!!!! Tarehe na miezi ka ya leo miaka kadhaa ulopita alizaliwa binti mrembo, mpole kiasi, mwenye roho yake tulivu Shunie!!!! Mungu azidi kukulinda mdogo wake mie, nakupenda...
21 Reactions
516 Replies
29K Views
Huyu jamaa unga umemfanya akaonekana mwehu ila kichwani ana kitu unique, chi chi chi chi chidi beeenz.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habarini za muda, Kwa wale wazawa wa Mwanza wa miaka 80s kushuku chini mtakua mlimsikia au hata kumuona Bibi fisi alikua akiishi Jirani na hospitali ya Bugando. Kuna uvumi nimeusikia toka...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama una id mpya plz nijulishe ila nakutafuta mwaka wa tatu sasa. Please njoo pm. kapotolo
3 Reactions
7 Replies
858 Views
Habari za jioni Wazazi wengi wa zamani hujisifu sana mbele ya watoto wao kwamba walikuwaga na akili sana darasani na walikuwa wanaongoza. Sijawahi kuona au kusikia mzazi yeyote akimwambia mtoto...
2 Reactions
10 Replies
727 Views
Leo wikiendi hakuna kulala. Usiendekeze usingizi. Ukifa utalala sana kaburini mpaka mwili utoke wadudu. Wakati wa kukesha na kula bata ndio huu huu ukiwa hai'. Ushauri wa Mshauri wangu wa Masuala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Studyroom Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Wakuu za jioni. Nilikutana na mzungu mmoja mwanaume katika cafe moja tukakaa meza moja tukapiga story huku tunakunywa kahawa, tuliongea mengi kuhusu maisha na yeye alijieleza ni doctor kule...
0 Reactions
4 Replies
775 Views
mabaharia wenzangu hivi kwa hapa Dar hakunaga machimbo ya mchana??....maana wakati mwingine unakabwa na kiu halafu kusubir hadi usiku inakua ngumu,,tujuzane km kuna machimbo ya kwenda na ukawakuta...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Naomba kujua kwa kipindi hichi cha mwisho wa Mwaka, ni mambo gani ya muhimu kujitathmini binafsi ili kujua ni kwa kiasi gani umefanikiwa katika malengo yako.
1 Reactions
11 Replies
888 Views
Back
Top Bottom