JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hi everyone in here, Moyoni nimejawa na huzuni baada ya kupatiwa taarifa juu ya msiba mzito wa Mtanzania mwenzetu Mr. Ali. Binafsi nimeshitushwa sana na taarifa hizo na kunifanya kukatisha...
0 Reactions
7 Replies
725 Views
Walipatapo kuvuma! Pierre Liquid, fundi furniture wa Keko! Msanii (nikiri tu siijui sanaa yake) na pia shabiki wa Taifa Stars, mwalikwa wa ungeni, shabiki wa KISARAWE! Kiukweli alivuma! Alikuja...
1 Reactions
8 Replies
778 Views
JAMBO ARUSHA[emoji870] JAMBO MWANZA[emoji870] JAMBO DODOMA[emoji870] JAMBO MBEYA[emoji870] JAMBO GEITA[emoji870] JAMBO KIGOMA[emoji870] JAMBO NAIROBI[emoji870] JAMBO...
1 Reactions
7 Replies
723 Views
Juzi tulikuwa pale Kijitonyama grounds, ilikuwa kama Miami. Baadha ya wadau wa Twita niliowaona 1.Kigwangala (huyu anakipiga basket ball hatar) 2. Zitto 3. Mwana FA 4. Wakazi 5. Matata Na wengne...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Ulikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habbar kinavyosomeka hapo juu Dah inauma sana lakin ndo hivo kwaherin ndugu zangu, week ijayo yaan jumanne inatakiwa niwe nishafika shule...
14 Reactions
268 Replies
16K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Ninasikitika sana wana jf wezangu hali yangu si nzur kabisa naumwa sana jaman Homa kali imenikamata toka juz...
6 Reactions
155 Replies
9K Views
Wanaume watakuwa wakali kipindi cha Disemba mpaka mwanzoni mwa February[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] NA kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma, kutakuwa na vipindi...
2 Reactions
5 Replies
913 Views
Video za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live. Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na...
17 Reactions
97 Replies
14K Views
Huyu baba anaomba polisi wamruhusu aingie bungeni kupeleka muswaada wa Ijumaa iwe siku ya mapumziko, watu wafanye kazi mpaka Alhamisi. Aliambiwa bunge limefungwa na hakuna mtu ndani. Akaulizwa...
2 Reactions
1 Replies
574 Views
Ulikua na umri gani ulipogundua kuwa ugali wa Dona sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1984 *(unga wa Donor... From Donor country)* 😄...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Mayombo(c) 2.Glory 3.Theresia 4.Gift 5.Consolatha 6.Praxeda 6.Aisha 7.Esther 8.Fiona 9.Gift 10.Nameless Bado mmoja itimie first 11... huko kwenu vipi !?? Nani mwenye substitutions kabisa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
"Unafungiwa nyama kwenye Gazeti, unafika nyumbani unashindwa kuchambua nyama na gazeti...unajikuta unakula Ugali na Habari za kimataifa" [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
9 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu..! Juzi maeneo flani niliibiwa simu sasa nimejaribu kutumia app ya FIND MY DEVICE naona inakuwa ngumu kuitrace simu yangu. Nina IMEI namba tu sina risiti je nikienda...
1 Reactions
9 Replies
853 Views
Nafuraha Sana kuzaliwa siku kama ya leo ... 05.12.199X ....
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Salaam kwenu! Ulishawahi kukaa muda gani (siku ngapi) bila kulala? Kwa nini. Binafsi sitosahau tulikuwa tunahama na mifugo, ndo mara ya kwanza kuingia kwenye misafara hyo (baada ya kumaliza...
4 Reactions
1 Replies
720 Views
Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau...
3 Reactions
109 Replies
9K Views
Ukiona mwanaume anamfungulia mwanamke mlango wa gari basi lazima kimojawapo ni kipya; gari jipya au mwanamke mpya.
4 Reactions
5 Replies
656 Views
Wale ambao toka ujiunge hujawahi kukutana uso kwa uso na member yote humu na wala humjui member yoyote humu,hebu tukuje tujuane hapa. Nimeleta huu uzi baada ya karibia wiki lote hili kuona kilio...
20 Reactions
408 Replies
22K Views
Katika uzi niliofungua wa wale ambao hawajawahi kuonana na member yoyote humu Jf ilikuwa kipimo cha namna gani upendo umepungua katika jamii ya kitanzania. Nimegundua hali ni hatari,watu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom