JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Standing Ovation Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni msichana kwa makadilio ni miaka 13-15 akicheza wimbo ya katika wa christian bella, anaonekana ni mwanafunzi shule ya secondary kma sio msingi( amevaa sketi ya blue) Huyu mtoto kwakweli...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Hivi kwanini - Ukitoka safarini lazima ununue mkate? - Inakuaje mgeni ndio alie kwenye sahani ya udongo? - Eti mtu akitoka dar lazima aje na machungwa - Chupa ya chai ikivunjika inakuwa ya kuwekea...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Leo nimepatwa na kali ya kufungia mwaka. Ilikuwa majira ya saa 8 hivi mchana baada ya vimvua vya hapa na pale huku nikiwa kwenye kaduka kangu cha vifaa vya umeme maeneo ya...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Napenda kuuliza wanawake; hivi zile nguo zenu za kukamata ngozi ya mwili wakati wa kuvua huwa kuna mtu anawasaidia kuivuta au mnawezaje kuvua?
4 Reactions
65 Replies
5K Views
KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO: (1) 9+1=70 (2) 9+2=11 (3) 9+3=12 (4) 9+4=13 (5) 9+5=14 (6) 9+6=15 (7) 9+7=16 (8) 9+8=17 (9) 9+9=18 (10) 9+10=19 Alipomaliza...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Tupunguze Stress kidogo, Huu ni Uzi maalum kwa Vituko vya 'Wanaume wa Dar' Kituko Chochote ulichonacho usisite kukiweka hapa.. Mimi ni muwakilishi tu toka 'Umoja wa Wanaume wa Mikoani'
2 Reactions
45 Replies
14K Views
I CAN'T BE SERIOUS ALL THE TIME. IT'S TIME FOR JOKES. It's time for jokes. I can't post serious topics all the time. I'm half serious, half funny TEN hilarious quotes that will make your day...
4 Reactions
19 Replies
9K Views
Kwa upande wangu Mimi sina nilichofanya zaidi kula na kulala tu.
0 Reactions
6 Replies
644 Views
Habari wazee, nipo A town na nategemea kuondoka leo jioni kama nitabahatisha Gari inayoenda Dar, Private. Vipi kuna uwezekano? kwa wataalam Gari kama hizo hupaki wapi hapa mjini
0 Reactions
6 Replies
530 Views
Ni kitambo kidogo sikuwa. Hewani kutokana na sababu anuai za kimaisha(mapambano) Hivyo ningependa kuwatakia Juma tano njema ndugu zangu wote wa jamii forums Habari.....,......
2 Reactions
3 Replies
565 Views
Wanjamvi wezangu mliopo katika Jamvi hilii tamuu kabisa nawaslimu sana Mimi mwanachama mwezenu leo nipo moja ya wilaya maarufu hapa mkoani Arusha Karatu mjini Kama kuna mwanajamvii yupo on tuonane...
0 Reactions
10 Replies
815 Views
Kama kichwa kinavyoeleza. Nazungumzia Shemeji wa kiume au baba yako wa kambo aliyemuoa mama yako mzazi. Au mshikaji wako anayetoka na dada yako ukamsaidia viagra au vumbi la congo. Na wewe una...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nikitoa maoni watu wana like, kwani mkisoma na kuacha kama yalivyo kuna shida gani? Sitaki likes mimi:mad::mad::mad::mad::mad::mad:
9 Reactions
4 Replies
893 Views
Sijui ni upopoma ama ni ushamba. Kila siku watangazaji wanasisitiza unapopiga simu katika kituo cha matangazo, zima radio yako au punguza kabisa sauti. Lakini bado jitu zima na ndevu zake...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nilikuwa mahali nakula na kufurahia msosi na coca yangu bariidiii, mara akaingia mwanaume kabeba briefcase. Kwa mwonekano lazima ni mwanasiasa mkubwa au bosi mkubwa mahali maana uvaaji na...
2 Reactions
2 Replies
463 Views
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!! Nikamuuliza unaelewa...
3 Reactions
42 Replies
14K Views
Najua wengi tuna malengo ya kumiliki magari lakini shida yetu ni kwamba bado channel za pesa hazijakaa vizuri kuokoa muda na wakati hatujui kesho yetu unweza ukazima leo paap hujaendesha hata...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii itasaidia sana kuongeza space ya abiria wengi kuingia katika gari na itapunguza kasi ya kugombea. Basi zijazo kwa msaada kidogo waweke kile kiti kirefu kimoja tu cha kukaa wamama, mtoto na...
1 Reactions
2 Replies
544 Views
Amani iwe nanyi Great Thinkers! Nimejaribu kupost threads kwenye majukwaa mbalimbali lakini nimeshindwa. Sijui kwa nini wakati siku ya kwanza najiunga JF ilikuwa rahisi tu kupost ktk lile jukwaa...
1 Reactions
26 Replies
38K Views
Back
Top Bottom