JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Visa kila siku haviishi mpaka ndugu/ rafiki wanalazimika kukwambia ulimtoa wapi huyu mwanamke? au ulimtoa wapi huyu mwanaume? Lol..saa nyingine mmeachana lakini kwa visa alivyokufanyia unabaki...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
1. Anapenda kwenda sawa na wewe kwa kile unachokila na muda mwingine atataka ale zaidi yako. 2. Ukiwa umelala na mkeo au mpenzi wako atalazimisha akupige chabo dirishani. 3. Ukiificha mboga hasa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Tarehe za Uhuru ndani ya jiji bora na jiji la mawe la sato na sangara zinakaribia. Zitafanyikia uwanja wa CCM Kirumba, nyuma kidogo na ofisi zangu (Kirumba sokoni) Wale wa mikoani, nawakaribisha...
9 Reactions
173 Replies
14K Views
Hi everyone in here, Leo sina mengi sana nahitaji kukutaba na wa Tanzania wanaosoma hapa Bonn University Ujerumani. Leo mimi, Linda na Jakob tutatembelea Bonn Botan Garden iliyopo hapa...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Wakuu, Chachu Ombara alikuwa ananiulizia kama online namuona Madame B . Mara sijakaa sawa nikapokea Ujumbe wa mathematics akimuulizia ladyfurahia. Kwamba amemiss mambo na kelele nyingi...
3 Reactions
59 Replies
3K Views
Anapika chapati za kusukuma 1.Anakuona Nazi Gheto 2.Ananunua mkaa Gunia 3.Ameweka midoli na kadi kitandani 4.Anapika makande Hebu na nyie malizieni
4 Reactions
37 Replies
7K Views
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi...
14 Reactions
255 Replies
17K Views
Hello kwasisi wanaume hivi kwanini huwa tuna peleka macho yetu kwenye wowowo za akina Dada hivi kwa wale wajanja tuambieni kazi ya wowowo kitandani ni IPI?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wana jf, Kama utaratibu wetu wa utafutaji na kwenda kwenye mishe mishe (,kazi,shuleni,sokoni nk ) Tuungane kuelezana Kama unasafiri kwenda mishe mishe,Mimi binafsi Niko kwenye...
3 Reactions
74 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimia sana, Uzi huu ni endelevu kwa ajili ya kuambiana chochote kilichokutokea leo. Mfano: 1. Umepata mchumba au umekutana na mtoto mzuri 2. Umeibiwa 3. Kuna tukio lolote mtaani kwenu...
2 Reactions
62 Replies
4K Views
Mtu akamatwa kwa kesi ya gongo hukumu ilikuwa kama ifuatavyo. Jaji: Nakuhukumu kwa kosa la kuuza gongo Mtuhumiwa: Me siuz gongo mnanionane 2 Jaji: Si tumekukamata na kifaa cha kutengenezea gongo...
5 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu Next week nitaanza safari ya kutoka Dsm kuelekea mbeya kwa Rav 4 new model. Lakini hii itakuwa safari yangu ya kwanza kuelekea Mbeya, kama ujuavyo unaposafiri safari ndefu...
0 Reactions
4 Replies
907 Views
Huku tukielezana kwa nini hatujajiandikisha. Kwa upande wangu mimi naona uvivu....hivyo tu Wale 'wazalendo' pia karibuni
13 Reactions
127 Replies
7K Views
Eti ni kweli kumuota mtu inatokana na yeye kukumisi ama?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa Mtu anae Enda Mwanza Na Private Car akitokea Dar, Naomba Anicheck PM ili nimchangie ya Mafuta Asante
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wakuu Huyu member mwenzetu magonjwa mtambuka wapi alipo mbona haonekani kabisa kwa sasa Amepatwa na nini aisee
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Mliohudhuria kesi tuambieni vipi hapo.
3 Reactions
0 Replies
948 Views
Ko siruhusiwi kugeuka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom