JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jaman wajuba wenzangu kama wewe ni mpenzi wa vichekesho nitajie msemo mmoja wa wanyabi. Mimi naanza na "Mtoto wa kike unamkuta anajishaua anaend chuo kumbe college ya D mbili huo ni unini?"
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tangu utawala umeingia dimbani matajiri wengi wamechezea nyavu au wako nyavuni mpaka sasa. 1. Papaa Msoffe, Marijani Aboubakar 2. Rugemalila 3. Somaiya (shivacom) 4. Akram Aziz 5. Ladwa (simba...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Nauliza huko mpaka sasa hivi mshahara umebaki kiasi gani. Maana mlio wengi mmepokea mshahara weekend.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukweli mchungu, na taarifa mbaya kwa waliozaliwa Ocean Road. Inasikitisha sana, waliozaliwa jiji hili wengi umri umeenda na hawana kitu, maisha yao mabovu mno, wanaishi majumbani kwa wazazi wao...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Fisi mla watu kaonekana kwenye kituo Cha mwendikasi
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Yaani leo wametoa ofa mpya 1000 unapata 1GB siku 7 full kujiachia. Unapiga *148*00# ok chagua saizi yako kisha namba 1 tayari mambo hayo wewe tu💪💪
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwenye simu yake ana application ya Facebook Lite huna haja ya kuuliza uyo ni mshamba. Ana miaka chini ya 25 anashanibikia Arsenal uyo ni mshamba anafata mkumbo, hiyo timu karithi. Ana nyimbo...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Nmeshangazwa na kitendo cha mtu kuongea na mh rais akilalamika kuwa bei ya mahindi/unga imepanda.nlipata shida kidogo msingi wa malalamiko yake. Lakini mbona hili wala si issue kubwa ya kusema...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Cheki askari wametumia muda mrefu kubomoa mlango haha.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Maisja ya shule bwana we acha tu! Nilipokuwa shule ya Msingi enzi hizoo kuanzia Darasa la Nne hadi la Saba maksi zangu za somo la Hisabati (Hesabu) zilikuwa zinacheza kwenye 03% - 08% na kwa...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Ohooo!!
1 Reactions
0 Replies
686 Views
Phone conversation; Watt: Hello there? Knott: Yes. Who are you? Watt: I'm Watt. Knott: What's your name? Watt: Watt's my name. Knott: Yes. What's your name? Watt: My name is John Watt. Knott: John...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
official_pck Leo nimeona niongee tatizo linalo usumbuwaga moyo wangu siku zoote Mimi kwenye maisha yangu siJawai kubahatika kumpata Mwanamke mwenye upendo wa dhati na mwenye kukubali kuolewa na...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Wenyeji wa Mwanza naomba msaada wa kujua lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini. Nina safari ya Mwanza hivi karibuni ila sina uzoefu wa wenyeji wa mjini. Naomba anayefahamu Lodge nzuri anisaidie...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Mazee, hizi kucha za bandia dada zetu wanazobandika juu ya kucha zao ni hatari sana. Katika harakati za kupita pita mitaa ya town kusaka maisha, kuna mdada mmoja kajikwaa mguuni kwangu nikiwa...
13 Reactions
27 Replies
5K Views
Katie Price has been declared bankrupt in a hearing at the High Court, which was told she had failed to stick to a plan to repay her debts. The former model and reality TV star was not present at...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Ni mara ya pili sasa nakuta missed call ya hii namba ‭+255 784 105 505‬. Nikipiga naambiwa haipo na nikiangalia jina la usajili wake nakuta haina jina. Je kuna ambaye anafahami ni namba ya ninu...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Jana nimehangaika kuzitafuta nyimbo za kwaya kuu KKKT Kimara album ya Katika njia ya injili. Tafadhali mwenye nazo naziomba.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom