*profesa mmoja aliwaambia wanachuo wake kazi ya udaktari inahitaji vitu viwili ''kutokuwa na kinyaa na umakini'' akaingiza kidole puani mwa maiti kisha akalamba,akawaamuru nao wafanye hvyo...
Basii status zao zingekuwa kama hivi
MENDE:- "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "
PANYA:- "Jana nimekula sharti la boss linanuka kikwapa ile...
Waungwana habari zenu.
Nashida ya kuonana na mtajwa hapo juu Yusuf Said Salim Bakhresa.
Nimejaribu njia kadhaa sijafanikiwa.
Kama unajua anapoishi itapendeza zaid ukinifahamisha.
Namba yake...
Kuna haja ya kuongeza saut kweli mabaharia wenzangu au volume iko sawa
Bas kama dawa kama kawa
Sisi ndo mabaharia na hili ndo genge letu
Kitu cha kuzingia baharia popote uwapo, hakikisha...
Wakuu naomba moja kwa moja nieleze mada husika. Mimi ni clinician ambae sina ajira serikalini.
Nimepambana na maisha ya private sector kwa kipindi kadhaa hadi sasa, ila kwa sasa nina mambo mawili...
1×1=1
1+1=2
2+2=4
2×2=4
3+3=6
3×3=9
4+4=8
4×4=16
5+5=10
5×5=25
6+6=12
6×6=36.
Swali langu
2+2=4 na 2×2=4 ukiangalia vzr majibu yote yanafanana kuliko namba yoyote ile ni kwa Nini zifanane?
Heshima kwenu.
Kwa wenyeji wa Dodoma, mgeni nipo hapa. Naomba kufahamiswa namna ya kufika mji mpya wa serikali - Mtumba kutokea maeneo ya Sabasaba hapa, kujua umbali na aina ya usafiri ulio...
Wadau habari zenu.
Mimi ndio nimetoka leo jela baada ya kumaliza kifungo changu. Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 nilihukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kosa langu la kuiba hela kiasi cha milioni 17 kwa...
kipindi hiko mimi binafsi ndio nimekuwa mkubwa (darasa la sita) nilikuwa namng'ang'ania mzee anipeleke baada ya kuona washikaji zangu wote wameshakatwa..
Basi siku tu mzee akanambia twende...
Hivi mnaona raha gani njia nzima mko watu nane tu, all the way from US to Dar? Mimi nina mabegi mawili na mkoba, stuli na coffee table msiniache.
Nilikuja Canada kujaribu maisha naona mambo hayaendi.
Get A Croachet Gaun
Special for Childrens under 5yrs
Now available with 20% Discount price
Start from Tsh.30 000/= up to Tsh.45 000/=
Contact us:
Mobile nõ/WhatsApp/Telegram:+255 621 335 929...
Mi nisema hichi kinywaji kina siri nzito sana, japo watu wengi hawafahamu. Nitatoa sifa chache za hichi kinywaji
Kwanza kabisa katika eneo ambalo wamekaa wanywa kahawa huwa kahawa inamfanya mtu...
Mimi kama mtafiti mkuu wa masuala ya mitafunano na mahusiano yasiyokuwa rasmi baina ya mwanamke na mwanaume natangaza rasmi ukimwi haupo tena Tanzania ya viwanda.
Katika awamu hii ya tano ya...
Likizo time
Tujadili Mambo Mambo ya nyumbani
Vyakula,sabuni nzuri za chooni,kufulia ,kuogea etc
Dawa za meno
Sex
Watoto
Mambo ya sokoni
Kila kitu
Uliza chochote au shauri chochote .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.