JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni mjomba wangu wa nne yaani baada ya mama anafuata anko Gervas Tibaijuka then anakuja yeye. Tangu afukuzwe kazi mjomba wangu amekuwa ni mtu wa kunywa pombe na kula wanawake tu. Imefikia hatua...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa ni muonekano unachangia ama nini. Yaani nikienda kwenye duka la mshikaji yeyote tukiwa tunapiga story za hapa na pale akija mteja kununua kitu akihitaji punguzo anamuacha mwenye...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye kufahamu channel ya Bongo Star Search kwenye king'amuzi cha Startimes naomba aniupdate.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau habari zenu. Mimi ni kijana wa Kitanzania, nimesoma na nimefanya kazi kwa muda mrefu sasa. Ila nahitaji na mimi walau nipate kanafasi niweze kuonesha uwezo wangu. Niko vzuri siyo mchezo...
0 Reactions
4 Replies
682 Views
Gheto 1 mstari wa 1 mpaka wa 9, Nae msela yeyote atakaekuja gheto bila taarifa Nami nawaasa mpeni maji tu ya kunywa huku nyinyi mkijimomosoa Kula nyama na wali uliobaki jana yake usiku, kwa maana...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Watu watakuuliza unajishughulisha/ kazi yako nini ili wajue kiwango cha heshima ya kukupa Kama hujaanza kufanya kitu, hakitatokea kitu Kila mtu ataku-judge kutokana na muonekano wako Watu wachache...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
...
0 Reactions
8 Replies
861 Views
Mmeshindajeeeee Imenishangaza sana kujua leo ni siku ya wanaume na maliwato day [yaani toilet's day)
3 Reactions
7 Replies
797 Views
Habari zenu waungwana Poleni sana na majukumu ya kujenga Tz ya vwonder Nielekee m1 kwa m1 kwny mada,Twenty 19 inaelekea kuisha na kumekuwa na mambo mengi kwelikweli kuhusu tasnia. Ila leo...
2 Reactions
11 Replies
997 Views
Mimi bwana nina vituko kadhaa au matukio kadhaa ambayo nilifanya nikiwa mdogo leo nikikumbuka najiona mjinga sana. Kituko cha kwanza, nikiwa na miaka kama 10 hivi au 11 kuna mama mmoja tulikutana...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Joe alitaka kununua pikipiki. Alikuwa hana bahati ya kuzipata hadi, siku moja, alipokutana na San LG na imeandikwa "inauzwa" . pikipiki ilionekana bora zaidi kuliko mpya, ingawa ina umri wa miaka...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna siku nilikuwa maeneo ya mjini kati Arusha (city center), nikaipenda suruali moja ya Tsh 15,000/= na pesa sikuwa nayo ikabidi niende kutoa kwenye ATM ya Posta. Nimefika pale sikukuta mtu hivyo...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwl.alimsimamisha mwanafunzi wake mmoja na kuanza kumfundisha kiswahili kwa vitendo. Mlm sema ccm mwanafunzi: jiji njemu. Mwl:azimio la arusha mwanafunzi:lyazima lyalosha mwl:wewe mwanafunzi...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Leo msukuma kanichekesha kaona gari la Tigo la matangazo si akatimua mbio za ajabu kisa deni kwenye simu yake anaogopa kukamatwa..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibuni bungeni, katika Nchi ya Jamii Forum, Njooni tujadili Changamoto, maendeleo na kupanga bajeti ya Nchi yetu ya Jamii forum , Bila kusahau Report ya CAG, Bajeti ya Nchi na fedha za miradi...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Kuna mtumishi wa umma namdai pesa yangu kaahidi mwisho wa mwezi. Ukitoka nikamdai
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni, Wiki ya 6 Sasa nipo Dar nikitokea Arusha. Naomba bila kupoteza muda niende Moja kwa Moja kwenye mada yangu! Nimegundua bia za Sinza ni tamu zaidi kuliko maeneo mengine ya Dar...
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Katika vikao vyetu mbalimbali tunavyokaa huwa tunapitisha miswada mbalimbali ila bado naona kuna baadhi ya wenzetu wanatuangusha. Sasa miswada yetu tuliyokubaliana tutaiweka hapahapa ili haya...
2 Reactions
8 Replies
681 Views
Uzi maalum kwa ajili ya wana JF wacomment mkoa ambao wamezaliwa. Unaweza kuwa umezaliwa mkoa mmoja na Member wengi humu sasa huu ndo mda muafaka. Naanza MImi
0 Reactions
102 Replies
7K Views
Wakuu, Heshima zenu, nimetua leo Moro, Naomba nielekezeni sehemu bomba ya kutulia na kuenjoy maisha.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom