JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Namshukuru sana M/MUNGU mwingi wa rehma na baraka kwa kuniwezesha kufikia leo tarehe ambayo kwa uwezo wake nilikuja dunia shukran za dhati ziende kwa wzazi wangu wawili............Wallah nina...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwanini mtu akinywa pombe alafu akala nyama hawezi kulewa, naombeni mnisaidie
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari, mwenye kujua hotel nzuri Tanga ya kulala Wageni (fees iwe kutoka 25,000 - 35,000 per night). Ahsanteni Nitasafiri kesho for 3 days.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mi nashauri jf management wawe wanatoa zawadi kila mwaka kwa member ambaye amepost thead ambazo zimepata wachangiaji wengi. Mfano thread zako nyingi ziwe zinachangiwa na member kuanzia 150+ sio...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
1.bodaboda-hawa bangi na viroba huenda vinawapeleka mbio 2.bajaj-hawa nao kama bodaboda tu 3.daladala-hawa nao bangi na viroba vinawakimbiza kusaka hesabu 4.Subaru,Altezza-wazee wa ligi na kelele...
7 Reactions
57 Replies
3K Views
Ni usiku ambao nimejilaza kitandani natafakari ndugu yangu wewe jinsi ambavyo tumekutana humu JF miaka kadhaa iliyopita. Sikudhani kama ingetokea tukakutana na kuwa washirika wakubwa wenye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Bila kupoteza wakati twende kwa pamoja kwenye mada. Jana nimefanikiwa kulala na kumshughulisha demu mmoja kutoka Dar zoezi ambalo limefanyika huku pembezoni mwa Nchi. Ilikuwa kimasihala Sana...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele. Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka...
11 Reactions
198 Replies
14K Views
Salute, Hivi watu wanayofautiana kuwa na ndoto mbalimbali, malengo na mipango sasa katika mambo hayo kuna kitu kinaitwa role model yaani mtu ambaye umemchagua kama mfano kwenye maisha yako...
1 Reactions
3 Replies
964 Views
Moja ya Kazi yangu nyingine ni ya ‘ Ukomedi ‘ lakini ambao unawasilisha jambo fulani mtambuka ( lililotokea punde ) nikiwa na nia ya Kuwaburudisha Wasomaji wangu lakini pia Kuwaonyesha Wahusika...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Sikuwahi kuwa interested na kazi za usiku ni vile tu upepo wa maisha ndo umenifanya nijikute nipo huku na kadri siku zinavyoenda najikuta naanza kuenjoy kufanya kazi usiku na yote haya ni kwa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimemiss story za maisha mazuri bana wiki hii sjui ulispend wapi njoo tafadhali nimemiss threads za kulalamika Kiduku Lilo
8 Reactions
29 Replies
3K Views
1. Viatu huisha upande mmoja 2. Lazima awe shabiki wa _*YANGA*_ 3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe 4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa. 5. Kufungua soda...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Salama Jamiiforums Ni Mtandao Mkubwa Sana Si Tu Hapa Tanzania Bali Duniani Kote Ukiwa Chanzo Cha Kapata Habari Na Matukio Mbalimbali. Jambo Kubwa Sana Na Linalonifurahisha Ni Tukio Ama Kauli...
1 Reactions
6 Replies
951 Views
Namshukuru Mungu kwa neema na upendo wake kwangu hadi siku ya leo. Naamini ataniweka Hai hadi kuona watoto wa watoto wangu na baraka nyingine nyingi zaidi. Nitafurahi kupata neno la faraja na...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
1. Mtu anapiga simu usiku unapokea alafu anauliza umelala? Huyu huwa anataka nini hasa mimi nitakuja ni mjibu mtu ovyo alikuaanataka nimjibu vp? 2. Mtu huna stress zako alafu wapumbavu Fulani...
6 Reactions
5 Replies
767 Views
Jana usiku nilikuwa na jopo la madaktari bingwa waliobobea kwenye masuala ya tafiti hasa lishe ,afya na uzazi. Miongoni mwa madaktari niliokuwa nao Ni njiwa, Dr. Bujibuji, Mwifwa, Ritz, Mshana...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom