JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu mambo vp Mimi nimefungua akaunti mpya ya jamiiforums kutokana ile ya kwanza kuwa maarufu sana hadi nakosa uhuru. Hi akaunti ya sasa ni mpya kabisa wala sijulikani naenjoy maisha ya jf Kuna...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nyinyi wamiliki wa SUBARU acheni sifa mkae mkijua mwendokasi unaua. Juzi naenda zangu Iringa kuna jamaa wanne wanaendesha subaru zinafanana aisee wanakimbia at speed of light na magari yao...
6 Reactions
14 Replies
953 Views
Moja kati ya gari hizi 7 ndio inayosababisha foleni na ikitolewa basi foleni nzima itapotea. Je, ni gari namba ngapi ya kuitoa?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu Kama heading ilivyo hapo juu embu tuambiane wewe unalimia meno kwa mtindo gani. Mimi na jua hili kali na joto kama New Delhi nalimia meno kwnye maeneo haya ya kimaisha, (masomo...
0 Reactions
3 Replies
613 Views
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa...
12 Reactions
77 Replies
13K Views
Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu. Watu hao ni mchungaji...
8 Reactions
10 Replies
4K Views
Sifa zake: - Nataka isiwe ndefu sana. - Main character wasiwe wengi sana - Then hiyo action series ikiwa na drama ndani yaye itakua poa zaidi. Wale wakongwe wa kuangalia hizi vitu naomba...
0 Reactions
3 Replies
950 Views
Yaani imekuwa kinyume nyume[emoji16][emoji16]mambo mengi mno na ndiyo kwanza hata nusu ya novemba bado. I'm sore...nilisahau kusalimia wananzengo. Mambo yalianzia huko Tunduru jamaa akaona isiwe...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Yaani imenibidi nikanunue dagaa mchele nirumangie na ugali wangu; Hii ni baada ya kunyunyizia chumvi kiduchu tu lakini nimeharibu mboga yangu hivi hivi imebidi nikamwage.
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Yani unaends bar , mhudumu anakuomba bia unaruhusu apewe, matokeo yako atajizungusha wee.....kinywaji asinywe na anasuka mpango kaunta wanampa hela baada ya kile kinywaji.. Wanaboa sana,,,,kutuona...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Unasema basi hebu leo uache usafiri wako binafsi upande public transport. Unachokuta huko ni zaidi ya masikitiko, ama kweli umasikini ukikutafuna na ukaukubali basi hata mawazo yako, ubongo wako...
0 Reactions
6 Replies
771 Views
Habari wana Jf kwa ujumla, nadhani mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu. Kama ilivyokawaida ya wanajumuiya iishiyo pamoja kunakuwa na mambo ya kukutana, kufahamiana na kufanya...
46 Reactions
2K Replies
92K Views
WanaJF, habari za siku? Maisha yenu yanaendaje? Basi kwa kifupi mliopo Mwanza msituogope tuonane tunakuja huko kwa shughuli ya sherehe maarufu na muhimu kabisa ya Uhuru wa nchi yetu tulishazoea...
0 Reactions
2 Replies
735 Views
Siamini kama CUTE love aliipokea ile 7800 Siamini kama Liverpool anaeza chukua ubingwa msimu huu Siamini kama uchaguzi wa mwaka huu utakua wa Uhuru na haki Siamini sana kama kweli Kiranga haioni...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimejikuta nachoka, nachoka, nachoka nachoka kila sehemu. Unafikiri nini kimenichosha? Uzi unawahusu under 25.
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Heloo it's another year,another day.. Nimefanikiwa kuongeza mwaka mmoja kwenye umri nilioishi hapa duniani! Not sure kama nimefanikisha kufika huu umri, kiukweli ni umri niliotamani kuufika..My...
13 Reactions
122 Replies
7K Views
Nadhani wapo wenzangu kama mimi ambao twajiuliza Twitter ina kitu gani unique kwa watu mashuhuri (watu sensational) Achana na akina Gigy Money na Instagram. Mfano akina Trump, Zitto Kabwe na...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations, akili ya kuzaliawa na commom sense. Straight to the title...
10 Reactions
177 Replies
12K Views
Binafsi kuna wadudu au wanyama ambao siwapendi na siwezi hata wagusa hata ukinambia wamekufa. Nimewaza chukulia mfano unatakiwa kuishi kwenye sehemu ambayo ni makazi ya kudumu ya viumbe hawa: 1...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom