JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Husika na mada tajwa hapo juu, eti ni kweli iphone 6 ni ji Tecno lililochangamka 🤣🤣🤣🤣
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau. Kama tunavyojua sote tunapata pesa kwa magumashi kwa namna moja au nyingine... Kutapeli, kuiba, kudanganya, kufoji nyaraka, kutoa rushwa, mazindiko kwa waganga nk...Pesa isiyo na jasho...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Weekend vyuma vimekaza sina hata sh mia. Haya tupigeni story uliza chochote nitakujibu.
1 Reactions
87 Replies
5K Views
Ukitaka kurejesha mkopo wa Tala unarudishaje wakuu?
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Dada zangu na wadogo zangu leo nina swali kwenu naombeni maoni yenu. Nimefanya utafiti nikagundua mnatumia njia mbalimbali mnazotumia kusafisha sehemu zenu za siri. Kuna njia ya kwanza ambayo...
0 Reactions
111 Replies
13K Views
Jamani nimekuwa nikisikia kuhusu hili swala la utajiri wa ndagu. Unapata utajiri wa kutupwa kwa masharti magumu. Kama Kuna mtu anayafamu vizuri haya mambo naomba anielekeze niishi maisha ya kifalme.
5 Reactions
78 Replies
18K Views
Sasa imekuwa kero, ingawa wengi watasema mvua ni baraka. Kuna baraka ambazo ni kero. Mvua ya sasa ni kero tupu! Siitaki tena.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Ndugu zangu mbona kimya tena sioni mambo mpya ili nijifunze zaidi.
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Amani iwe nanyi wakuu. Katika maisha yangu mpaka sasa hela kubwa ambayo nishawahi kuishika ni million kumi tu, lakini cha ajabu nayo iliisha halafu sijui hata iliisha ishaje. Nilirudi home mikono...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za siku ndugu zangu wapendwa matumaini yangu mu wazima buheri wa afya nawatakieni usiku mwema.
0 Reactions
7 Replies
779 Views
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Nawasalimia WASICHANA wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA. Nawasalimia WASICHANA weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI. Nawasalimia...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu! Karibuni tule
33 Reactions
771 Replies
35K Views
Vijana wanataka pepo wanaogopa kufa bhana. Nimefika Baa moja nikaagiza supu na katonic kangu pemben kuna meza kama tayu zimezungukwa na vijana wakila raha na aina mbalimbalu za bia. Hahahaa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Chukua samaki wako mpasue, mtoe makolokolo yote ya ndani muoshe vizuri kwa maji safi na salama. Baada ya hapo sasa mtie ndimu ya kutosha, mtie tangawizi ya kutosha, mtie kitunguu swaumu cha...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Mapema wiki hii nilikuja kijijini kuwaona wazee huku Bariadi, sasa siku ya Jana asubuhi nilitoka na mzee tukaenda mjini,tulirudi mida ya jioni saa kumi na mbili,ule muda mifugo inarejeshwa...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu salamu. Hivi kuna mwanamke yeyote yule iwe wa familia yenu, mtaani, jirani au humu Jf aliyehudhuria ibada ya kisulisuli na sasa ameshapata mme? Hebu tushirikishe ulimpata pata vipi au...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nilikuwa chuo pale, ndo natoka hapa sasa. Jaman masela kuna vyombo vipya 1st Year vimemwagwa kila type. Ipo kazi kwenu mabaharia. Watoto bado wanaonekana wabichi kabisa, mnato utakwepo msije...
14 Reactions
63 Replies
5K Views
Jamani nisaidieni natafuta makao mwenzenu.
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa...
13 Reactions
848 Replies
41K Views
Back
Top Bottom