JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Na mimi nimejaribu kuanzisha endless thread. Here we go. Karibuni. 👇🏽Is my current screenshot
0 Reactions
64 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Naomba kuanzisha uzi huu maalum kwa ajili ya kukusanya watu ama mtu ambaye atakuwa radhi kusafiri kwa basi kwenda Afrika Kusini na kwa ajili ya masuala mbalimbali. Idea ni...
1 Reactions
1 Replies
758 Views
Kuna majanga asili mengi duniani (natural disasters)ambayo tunayaona/sikia yakiathiri maisha ya watu lakini hi ni kubwa zaidi. Pale mtoto wa kiume unapozaliwa kati ya wanawake wengi na ukashindwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
.......Kula TIGO, KULA RUSHWA, KULA SUNGURA TOPE, KUBET MIKEKA,KULA NGADA. KAMA HAUJAANZA, USIANZE. TUACHE SISI TULIOPOTEA Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
77 Replies
10K Views
Ni nani wewe unayenikataza nisiende chuoni na tranka... Ni nani wewe unayenikataza nisivae lile buti langu nililozawadiwa na mwenyekiti... Ni nani wewe unayeniambia et niende chuo na begi la...
2 Reactions
19 Replies
857 Views
Amani iwe juu yenu wakuu, Hatimaye nimeanza kuwa mkongwe sasa kwa jukwaa la JF. Nimejiunga kitambo sana humu ndani wakongwe wenzangu wanajua. Japo madogo wa juzi hawawezi jua. Nimejiunga kipindi...
0 Reactions
57 Replies
3K Views
Maisha yamekuwa magumu sana kipindi hiki. Nilikuwa nawaza kwa mfano nikisajili lain 20 za Vodacom kila laini nikakopa M-Pawa buku tano tano, 5000x20=100k (ntasubiria laini zimalize miezi mitatu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikianza na mimi mwenyewe nakumbuka kuwa tulikubaliana 1. Hakuna kumtumia mwanamke nauli,kama nauli tutalipa akifa. 2."Hakuna kuoa mwanamke aliezalia nyumbani" 3.Hakuna kutuma na hela ya kutolea...
0 Reactions
10 Replies
828 Views
Mimi ni mwanaume mpenda mambo ya Teknolojia hasa hasa kwenye software. Napenda sana kumpata rafiki wa kike wa kuchat nae kama kupunguza stress tu za mizunguko. Kwa yeyote alie tayari ani-PM tu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamaa mmoja aligonga hodi na mwanamke kafungua. Jamaa kwa hasira akauliza, “una uchi?” Mwanamke akabamiza mlango kwa hasira. Jamaa likaondoka. Siku ya pili jamaa likarudi tena. "Hodi?" Karibu...
12 Reactions
10 Replies
3K Views
Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi 1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya 2. Nicolas-muongo 3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja 4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda...
0 Reactions
37 Replies
31K Views
Wakuu, kuna mtaalamu mmoja anadai anatoa pochi ya ajabu ambayo kila asubuhi unakuta pochi limejaa mipesa. Pesa hizo sharti lake ni zitumike siku hiyo hiyo zote, isibaki hata senti. Kesho asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Kuuliza si ujinga. Kuna wana JF huwa wanatumia alama zifuatazo kwenye comments zao ila hua sielewi maana yake, naomba mnisaidie 1.rolleys:rolleys:rolleys 2.:D:D:D:D 3.:p:p:p...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukiona Lori la mafuta limedondoka karibu yako unapata taswira gani
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Saa 10:00 Timu Kuwasili Saa 10:20 Wachezaji Kushuka kutoka katika Ndege kwa Magoti na Makalio Saa 10:30 Wachezaji Kuangaliwa kwa Jicho baya sana na Wahudhuriaji Uwanjani Saa 11:00 Golikipa Shikalo...
4 Reactions
0 Replies
750 Views
Tatizo langu ni unyonge najuta kwanini sikupitia jkt au kwenda dojo lolote kujifunza mbinu za mapambano. Nimekuwa punching bag kila mtu anataka kunipiga na huwa wananipiga kwelikweli,jana...
3 Reactions
19 Replies
985 Views
*Mwaka - Umri* 1950 - 69 1951 - 68 1952 - 67 1953 - 66 1954 - 65 1955 - 64 1956 - 63 1957 - 62 1958 - 61 1959 - 60 1960 - 59 1961 - 58 1962 - 57 1963 - 56 1964 - 55 1965 - 54 1966 - 53 1967 - 52...
28 Reactions
238 Replies
14K Views
Habarini ndugu zanguni.naamini maisha yanaenda mbele kiulaini kama kawaida.kuna jambo nimeli observe mara kadhaa limekuwa likinisikitisha sana. Hii kauli "Billman ngekuwa kama wewe ningewabandua...
34 Reactions
64 Replies
6K Views
Kuzingatia kwamba moja ya slogan za JF ni “where we dare to talk openly “ kuanzia sasa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu nitaweka hapa list ya post mbovu kabisa ( utumbo) zilizowekwa kwenye...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom