JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Fuata hatua moja kati ya hizi ili kudumisha amani katika ndoa yako. 1.Ukiingia bafuni kuoga nenda kaoge na mkeo 2. Kama itashindikana kwenda kuoga na mkeo basi nenda kaoge na simu yako Hivi vitu...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Yaani huwa nikiangalia pantoni au meli na boat ilivyo kwenye maji wakati inaelea nikivuta picha mule mvunguni najua kuna kitu kinafanya iende yaani engine au motor lakini mule chini nashindwa...
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Leo nimeonja hii product ya Azam (kwenye picha hapo chini[emoji116]),, aisee!!, sio siri huyu mzee yupo vizuri. Kuanzia vinywaji, nafaka, mpaka king'amuzi huyu jamaa anakimbiza...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Namtafuta ndugu yangu wa karibu kabisa tena mtu wa peponi. Nilipotezana naye miezi miwili iliyopita. Mtu huyu wa peponi mwenye taarifa zake anieleze isijekuwa kishaenda peponi na kuniacha...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Habari wadau za juma pili. kama kichwa cha habari hapo juu. mimi nime wai kutumia simu za aina nyingingi sana ila kiukweli nilii kuwa mgonjwa na simu za nokia na huaweii. tokea maisha yangu...
0 Reactions
94 Replies
9K Views
Katika siku ambazo tumeshindwa kupumua ni leo mana tumechanganywa na vitu vingi kama watu walipangana 1. Mond na Kiba kumekucha 2. Aunt Ezekiel kufungiwa bar yake baada ya kurudiana na timu WCB...
1 Reactions
6 Replies
775 Views
SWALI: Nini maana ya matatizo..? JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!! Mwanajeshi, wee boya Tu...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanasemaga kuimba vizuri kanisani ni sawa na kuimba mara mbili...imagine wewe ni Mungu afu hawa watu wanakuimbia hivi utajisikia vipi mmhh.... Hawa watu wanajiita Mormon tarbenacles Choir wanaimba...
0 Reactions
5 Replies
843 Views
Mu hali gani wanajf, Awali ya yote nimeonelea niandike kitu hichi ili kuwaweka katika utayari wa maisha yenu/ yetu, sijamkusudia mtu yeyote kumwandika hapa bali kutokana na hali yangu...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
wakuu msaada wenu nataka nianze gym ila mwili wangu ni mwembamba saana nataka nijae kama brown. nahitaji supplment nzuri ya bei rahisi au dawa zozote nazoweza kutumia. naombeni msaada kwa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimekaa hapa nakunywa chai yangu na kiporo, ghafla kaja shoga yangu hatujaonana miaka mingi. Anasukuma mgari, kapendeza huyo. Full kujidai! Nikijiangalia basi nliivyopuyanga, full kupauka...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Amani iwe juu yenu wakuu Nuru ya MUNGU iwaangaze Naseseleka nayo Jf kuna kila aina ya watu wapo wapole na wakorofi sana Sitaki kuwazungumzia wengine Leo namuongelea mama yetu mpendwa...
11 Reactions
115 Replies
6K Views
Naomba nishauri na pia nitoe dukuduku Wanaume/ wakaka wa chuo wambea sana em punguzeni umbea yani utakuta wanaume wamekaa kama watatu au wanne wanamsema mdada adi unanona aibu kama vile umesemwa...
1 Reactions
8 Replies
742 Views
Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza...
10 Reactions
106 Replies
26K Views
Naombeni link ya uzi unaohusu ujio wa ndege za ATCL. Nawasilisha!!
0 Reactions
7 Replies
766 Views
Wapi Dar naweza kwenda na familia kwa bowling au indoor skating?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanazengo, nasikia kuna balaa zito mnazi mmoja, nyuki kama wote na kuna tetesi kua mmoja chini. Hali si hali wazee wenye ndumba au tutumie moshi tukaline asali kabisa?? Daah ila wanaume wa dar...
1 Reactions
11 Replies
703 Views
Leo maji yamekatika msithubutu kuja na yenu ya Tandika balaa.
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Habari.. Hivi ushawahi kusafiri kwenda safari za mikoani au nje ya nchi au hapa na pale mfano Kariakoo au Tandika au Mwenge alafu ndani ya bus au gari ukakutana na kitu cha ajabu au cha kutisha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Na glass ya mtindi pembeni
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom