Enzi zile nilikua nafanya mchezo wa kubahatisha namba, nikikutana na sauti ya kiume napotezea, nikikutana na ya kike nachombeza. Sasa kuna huyo dada anaitwa ***, ana sauti laiiini kwenye simu...
UKIMWI ni kama bahati nasibu nyingine, yaani "kadri unavyoshiriki ndivyo unajiongezea nafasi ya kujishindia"
Kwa maana ya kuwa kama wewe ni mtu mwenye bahati sana, yaani ukishiriki bahati...
Habarini marafiki
12/07/2014
Kwa mara nyingine najitokeza tena kuwania kiti cha Urais wa Tz mwakani
hivyo nimeanza vikampeni vya chini chini iili nikiibuka niwe kiuhalisia
Mnamo 2010...
Kuna ule usemi aliyenacho uongezewa.
Uzoefu wangu unanionyesha kuwa ukiwa katika mahusiano ndipo wakinadada wanamiminika sana kukushobokea na kukuhitaji kimapenzi lakini ukiwa single na wakajua...
1.NYOTA YA TWIGA:
Majina ya kuanzia na herufi A, M, Y.
Siku yao nzuri: Jumanne mchana Siku Mbaya: Jumanne usiku na Jumatano mchana Ni siku za Mikosi,
kutoswa, Kesi, na mabalaa, usitongoze, ni...
Nmeona uzi wa wenzetu jinsia pendwa wakitiana moyo na kufarijiana nkaona si mbaya pia na sisi wa upande wa pili tukipongezana na kuelezana changamoto mbalimbali tunazokabiliana nazo hasa kwenye...
- Kujiona una sumu kwa kumpata demu kisu kumbe demu ni muuzaji.
- Una cheti first class ila ajira amepata mwenye lower class.
- Kutunukiwa tunda na binti mrembo alafu mnara ukagoma kusoma.
-...
Katika vyumba vya mtihani kuna wakati huwa yanatokea mambo ambayo yanaweza kukuacha mdomo wazi. Moja ya matukio ambayo huwa nayakumbuka ni:
1. Tulikuwa katika mtihani wa taifa wa kidato cha pili...
Na yeyote anayekosea japo namna ya kuushika hata awe nani, anapewa adhabu kali ambayo ni ngumu kuisahau na ni funzo kubwa kwa wengine (wakati huohuo).
Sa' usiku wa kuamkia leo nimejaribu...
Uzi huu ni wa kubashiri ni nani atakae fuatia kupewa cheo cha plutnum member ,yaani mtag unaemuhisi au yule unaevutiwa na mada zake au ushauri wake binafsi namuhisi Sky Eclat.
Karibuni .
Nilisoma gazeti moja, Nigella Lawson anawaza watoto wake pocket money £60 kwa siku.
Mhh, hii ni budget yangu ya wiki mbili kwenda kazini na hapo katikati kuna siku ninazobeba kiporo cha wali...
Nafurahi kuona bado kuna nyimbo za bongoflava unaweza kusikiliza ukaweka rewind..
Unaipa asilimia ngapi hii kapo yenye vipaji vya hali ya juu kabisa?
Kusah
We umenikaa, umenikaa kwa roho
Nafsi...
Hahahahahahahah, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nawe pia cheka pia waruhusiwa.
Habarini wanafunzi wenzangu!
Nilianza masomo ya awali mwaka 2012 baada ya jirani yangu mmoja kuniambia kuwa kuna shule moja nzuri sana hapa mjini, hivyo nasaha zake zikanivuta na kuanza shule ya...
Habari zenu wanajamvi
Ki ukweli nimetokea kuvutiwa na huyu Dada
Yan hata nikiwa na njaa nikiona kale kapcha ma
Kake k wenye avatar najikuta nasiba
We Dada una mzizi au
Mana cjakuona live lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.