Aman iwe nanyi
Leo mtaan kulikuwa na mada iliyokuwa inahusu neno akili, aisee kilinuka mazee
Kuna jamaa alidai marehemu Ruge alikuwa na akili sana
Ndo mimi nikadakia nikasema bro akili ni nini...
Aman iwe nanyi.
Mimi naomba kujua ni kwanini Wamarekani wengi wanaitwa akina Carter. Au Carter ni jina la kiasili kama ilivyo huku kwetu majina kama Masawe, Masanja, Mayala au Mabula?
Maana...
Yafuatayo ni Mawasiliano ‘ Kiduchu ‘ kwa njia ya Meseji ( SMS ) kati ya Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC Hassan Dilinga ( HD ) na Kiungo wa Timu Masikini na inayoenda Kushuka daraja nchini kwa...
Mimi kwa sasa nina umri wa miaka 38. Sijawahi kukosea vipimo wakati nanunua boxer, tight ama chupi japo huwa sijaribishi physically, ni macho tu nikikodolea lazima size yake iwe sahihi kwa...
Je ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu iwe kwa kujua au kwa ghafra? Je ulijisikiaje siku hiyo?
Binafsi niliwahi jamba mbele ya mdingi wakati tuko mezani tunapiga msosi mzee alinitazama...
Jumamosi ya juzi nimetimiza miaka 9 tangu niifahamu JF. Ni safari ndefu nashukuru sana site hii imenijenga sana, nimekutana na mawazo mengi mazuri.
Thanks #JF
Hili soko huwa linakua ni siku gani limechangamka? Nahitaji kwenda huko kununua nguo na viatu watu wanalisifia sana hapa Moshi na Arusha ila sijawahi kufika
Unashuka kituo gani kwa mtu anayetokea...
Diwali is called the Festival of Lights and is celebrated to honor Rama-chandra, the seventh avatar (incarnation of the god Vishnu). It is believed that on this day Rama returned to his people...
Enzi zile mitumba iliitwa kafa Ulaya, sehemu pekee uliyoweza kupata kama Ulaya ilikuwa kanisani au kwenye kambi za wakimbizi.
Waliokwenda Ulaya na kuloea waliitwa walibezwa. Vijana wachache...
Ilikuwa ni combination ya watu wachache, hapa jukwaani!! Waliokuwa na nguvu kubwa ya Ushauri.
Mkuu Tized
Mkuu Mr Rocky
Mkuu OLESAIDIMU
Mkuu Ntuzu
Mkuu Mndengereko n.k
Mko wapi Team Marafiki?
Inasemekana Kwamba Kumbe Haya Magari Watu Wanayoyamiliki Yamegawanywa Ktk Makundi Makuu Mawili Ambapo Kundi La Kwanza Ni Lile La CHOMBO TU CHA USAFIRI Na Kundi La Pili Ni GARI LENYEWE Na Mimi Bila...
Kwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning.
Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.