Wana zengo siku flani weekend moja amazing na washkaji tunakula vyupa katika story mbili tatu ikafika mada mezani watu wakijinadi wamegegeda mechi zakutosha zinaweza fika hata mechi mia...
Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko
Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye...
Habari watafutaji
Mm nimekuwa muhanga wa ili jambo asee na hii ni kitokana na mishe nyingi za mchana yan ile kitendo cha kuweka ubavu kitandani na kupitia post mbili tatu za umu jf unajikuta...
Habari zenu wana JF,
Natumai mpo powa
Usiku wakuamkia Leo nimeota ndoto namlinda mheshimiwa/mtukufu Rais wa jamhuri ..alikuwa hana mlinzi zaidi yangu MIMI kyaka
Wenye ujuzi wa mambo nisaidieni.
Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.
Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia...
Jamani pamoja na kuwa maendeleo sasa watu wameadvance lakini hii habari ya kwenda kwa mganga Kariakoo, kwanza unajua kodi ya Kariakoo ilivyo ghali, mganga anaendesha Vitz lazima safari yako ilipie...
Nimeendesha gari kwa miaka kadhaa sasa lakini sijawahi kubahatika kukutana na gari la wagonjwa likiwa sheli, ni mimi tu au kuna aliyewahi kuona Ambulance ikiwa sheli?
"kosefu wa fedha chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume"
Limelipo gazet moja pendwa nchin Tanzania
Facebook
Siyo handsome, huna pesa, huwez kuongea sasa nguvu za kiume unapata wapi
Ndugu zangu wiki mbili zijazo natarajia kuelekea Zanzibar, so kwa anayefahamu huku maeneo gani naweza kupata lodge au guest ya kufikia maana uwezo wa hoteli sina.
Amani iwe nanyi mabaharia
Nimewaita kwa kikao cha dharura.
Naomba tuwekane sawa mabaharia.
Kwa hizi siku chache kumetokea mabaharia fulani ambao wanaharibu chama chetu kwa kuwamiminia wachumba...
Ndani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17.
Single...
Gari moja inayofanya safari zake Shinyanga - Mwanza limepinduka na kumwaga mbao hali iliyopelekea wananchi kuzishambulia kwa wingi na inasemekana wananchi hao wana elekea kwenye msiba wa mafarao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.