Hapa nimeona account ya marehemu mume wa Zari the Boss Lady ikiwa active na neno "Account for the late under new management" basi nimejifunza mengi kama wengine.
Wakuuu tusaidiane kuziandika nyimbo nzuri na zamajonzi za kutufariji pale wapendwa wetu wanapotangulia mbele ya haki...
Kwakuanzia....
1-kamanda song
2-palapanda song
3-........
4-...
Kweli maisha yamekuwa magumu,eti mpaka asa ivi vitafunwa havijaisha
chapati ,vitumbua,mihogo mpaka sasa ipo tu inasubiri walaji
Asa sijui watu hawanywi chai au?
Nauliza tuu maana mko kama mnatania vile,
Channel mlizonazo hovyo hovyo,
Local channels hakuna,
Hebu rejesheni local channels kama kulipia siso tutalipoa tu
Bila hivyo jiandaeni kufunga biashara...
Leo tujikumbushe gazti la sani la zamani. Mule kulikuwa na mtu anaitwa Madenge jamaa yeye ni mzee wa matukio tu. Huku mzee baba mzee Kifimbo Cheza yeye fulu kugawa stiki kwa sana. Wewe...
Hellow bosess;
leo saa tatu hii usiku kwa sababu zilizipo nje ya uwezo wangu kuna jambo lilinipa Hasira na kunikasirisha sana, nikajaribu kunyamaza ili zipungue nikaona haina matokeo ya haraka...
Hey guys..Lets share our happy moments
tuambie kitu gani unafurahia sana au ulifurahia ulivofanyiwa na mpenzi wako?
Yani kama kakufanyia au atakufanyia au ulishafanyiwa ..lets share
#chitchat#Mood
Kwa mujibu wa maandiko yanasema ule Uchakataji uliokuwa unafanyika pale Sodoma na Gomora ulikuwa si wa mchezo,
Mwenye nguvu ndio mla Nyama yaani Hakuna kutongoza ukikutana na demu popote pale...
Ni kijana wa chuo mwaka wa kwanza
Nimejihusha kwenye comedy hii
Nilifanya siku moja chuoni kila mtu aliipenda
Kwa sasa nimeamua kuingia moja kwa moja katika comedy hii
Kila siku najifunza vipya...
Jamani humu ndani sote tunajua si wote damu zimeendana wengine humu twachukiana kwa sababu au bila sababu
Mwingine anatokea tu kutomkubali member
fulani kutokana thread zake au comment zake...
Sijawahi kusafiri nikakaa siti moja na mtoto mzuri nimpige mapochopocho au vyumba tamati ya safari. Kila siku nakutana na ngumu nyeusi mnyama Diamond, simba, valeur, konyagi, gongo..
Habari wakuu
Nimekuwa nikikwera na tabia ya mtu kuongelea suala asiloliju. Unakuta mtu sio medical personnel au sio mtu anafahamu masuala ya banking lakini huleta ujuaji sana kwa suala...
Je, una mume au mke, girlfriend ama boyfriend?
Unakumbuka mistari (uliyotumia/ aliyotumia) mwenzio kukuingiza kwenye kumi na nane?
Please share It with us
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.