JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
2017 Sponsor kakutumia ticket ukaenda ukarudi.Umekaa miaka miwili unazunguka na hii tag tangu trip ile lakini huchani.Umepanda Saratoga kwenda Kigoma kwenu bado unayo hata maandishi yamefutika...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau wapi jijini Mbeya kwenye baa nzuri, yenye huduma nzuri, wahudumu bomba na wenye huduma nzuri?!!! Je Karembu bar bado inawika? Nataka nitoke mishale ya saa 11 nikapunguze stress japo kiasi...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Tupia ka-video kafupi kasekunde chache kakuchekesha na kuburudisha/kufurahisha Usisahau zile video za wadada wanaokata mauno ya kufa mtu ;) pale unapomfumania na dereva bodaboda na demu wako
1 Reactions
11 Replies
751 Views
Watu wengi hupenda kuonekana wastaarabu katika jamii inayomzunguka n.k Unavyojiona ya kuwa wewe ni mstaarabu kuliko wengine,ina maana wewe una sifa zipi?
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Sawa tumeshajua kuwa Kawe Asili yake ni ' Cow Way ' au ' Njia ya Ng'ombe ' hivyo kwa mwendo huo huo leo na Mimi GENTAMYCINE naomba kujua Asili ya haya maeneo ambayo Siku zote nimekuwa nikiwa na...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Huu upepo unavuma sana takribani wiki hii yote huenda ndio ulioleta mvua na mafuliko mikoa ya pwani. Hadi huku bara hali si shwari, vipi huko mliko hali ikoje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza Maana ya jina langu limetokana na dinosaurs huyu alikua na mbio Kali sana kama mm nilivo so nkajibatiza jina lake Tyrannosaurus
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana natumai mko poa. Tanzania ina makabila mengi zaidi ya mia na kila kabila lina utaratibu wake liliojiwekea. Mila na desturi za makabila yetu zinatofautiana, embu tujuzane ni...
3 Reactions
239 Replies
19K Views
Hivi watu wa hii nchi mbona ni makauzu na mabandidu sana? Kwa style hii ya kukutana na kila mtu amenuna tutafikia lengo kweli? JANA NIMEKUTANA NA MAKAUZU WENGINE WAMEPAKIZA SPIKA KWENYE GARI ETI...
0 Reactions
5 Replies
708 Views
Yaani nyie Mashemeji zangu Wachagga pamoja na Ujanja wenu wote lakini mkiwa mnafika tu maeneo ya Korogwe huwa ‘ mnatekwa ‘ Kirahisi mno hasa pale mkiwa mnasafirisha Maiti kwenda Kuzika Kwenu hadi...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba namba ya simu ya ndugu Rostam Aziz ili niweze kuwasiliana naye. Nimekuwa nikimtafuta kwa 0754555555 lakini nahisi alibadilisha namba. Kazi njema kwa wote. Thanks in advance
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nimeingiwa na wasiwasi sana, nina mpenzi wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni ameanza kubadilika. Kila muda nikionana naye ananipa stori za mshana jr na Bujibuji, anadai...
10 Reactions
72 Replies
7K Views
Salute. Kiukweli tangu nimeingia hapa takribani miaka 6 nimegundua ni moja ya jiji la starehe kuliko yote hapa nchini kinachonipa shida moja wanawake wa huku ni vicheche sana si wote lkn ukijabu...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Kuna group moja la whatspp niliungwa nikiwa kama mgeni nikasalimia nikaona kimya, nikasamilia Mara ya pili kimya hakuna anaejibu nikatulia kama nusu saa nione kinachoendelea kimya hakuna...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni bahati iliyoje kutimiza miaka miwili jf bila kulamba ban? Mliokuwa mnahamisha nyuzi zangu sijui na huu mtakakoupeleka. Ni hayo tu, nimemaliza
1 Reactions
4 Replies
641 Views
Leo nimepishana na Vitz imeandikwa, "Never trust women" Nikajua huyu mtu lazima alikuaga na Range Rover [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
2 Reactions
9 Replies
911 Views
I hope you are doing well, and I'm good too. Kindly, take heed to what I will say today. Actually, is so sad to find out many liers are people who are close to our life, such as our friends and...
1 Reactions
2 Replies
519 Views
Nataka kuokoka neno 1 kwangu
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi wakuu Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford Ebhana ee Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla Safari...
10 Reactions
223 Replies
22K Views
.
10 Reactions
157 Replies
6K Views
Back
Top Bottom