Habari,
Guys, kwa mtu yeyote anayejua magari mazuri ya kusafiria safari za mkoani especially Mbeya aniambie 'luxury bus'
kama kuna sehemu za kuchaji. Ikiwezekana kwa anaejua au amesikia ni basi...
Hello wanajukwaa,poleni na majukumu naenda straight to the point Mimi Ni mpenzi Sana wa nukuu(quotes).zimekuwa zikinisaidia katika changamoto nyingi hasa za kielimu,kimaisha,mfano "money speaks...
Sometimes Love emotions arise anywhere, And ain't guilty to say how you feel about someone whom you love.
Sio mchangiaji sana humu ila ni msomaji mzuri wa mada mbali mbali..
Nimejikuta navutiwa...
Habari ya mawio?
Wise man once said " East or West, home is the best " kwa hakika hakuna mazingira murua kabisa kama nyumbani.
Nakumbuka niliwahi rudi nyumbani kwa ajili ya likizo. Wakati huo...
Hasa za kwenda makwetu huko mbagala huko ndani ndani maana ndipo tulipo , na tunako ishi .
Dah aseee nyomi lote hili hapa gerezani daladala stand , just dah ahahahah aseee , na mvua hiii
Oh...
Naombeni msaada kuhusu mazingira gani mazuri kwa kujisomea kati ya kupanga au kukaa hostel za chuo ili kupata matokeo chanya? Tukianza kwa gharama, nasoma chuo ambacho hostel zake ni laki 4 kwa...
Mara ana v8,mara yuko kwa Dadake amekataliwa na demu , mara Ana range, mara anatafuta fundi gari inagongagonga dah acheni uongo wadau mmezidi. Kwa wanao wafahamu watakuwa wamenielewa
Hapa ni kwa ajili ya wale wanao tumia social network eg.jf, Facebook, whtasap, insta etc
1:kujifunza technology
2:kupata marketing connection za biashara
3;kupata marafiki na life mates...
Kwasababu gani wanandoa au wapenzi wanajiachia mpaka wanafikia kujirekodi video za uchi? Kwani mnakua hamridhiki kuangaliana bila kurekodiana?
Kwani mwaka gani itakua mwisho wa kumdharirisha...
Mimi Ollachuga Oc as a big fan of Chelsea and Mtiba shugwa ya Tanzania napenda kujitakia kheri ni Siku yangu ya kuzaliwa. Miaka 25 iliyopita mama alileta mtu muhimu sana duniani ambaye ni mimi...
Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,
Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.