JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kweli kifo habari nyingine uuuuwi [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] Sikia Hii kali ya leo Familia moja walifurahi sana kupata mtoto, lakini majonzi yalianza pale walipogundua siku...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Yaani zinakuwa juu kabisa, mtu anaweza hata kukohoa nikahisi anapiga kelele. Naona vurugu vurugu tu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nipo eneo fulani hapa nachakata kinywaji kiwe mkojo Sasa Kuna wadau kama wanne wapo Meza ya Jirani ,halafu nahisi ni wasukuma hawa manake nipo kwako huku Hiyo meza waliyokaa wadau ,watatu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ukiuweka Uzi SUBSCRIBED maana yake nini???
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Ndugu zangu, sisi watumiaji wa Tecno tumekuwa tukionekana cheap sana kutokana na simu zetu za Tecno kudharaulika kana kwamba ni za kimasikini tofauti na wale wanaotumia iPhone, Samsung ama sijui...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
Wadada wa kihaya ni wazuri sana. Niwaulize wadau hapa, je! uliwahi kukutana msichana yoyote wa kihaya asiyekuwa na mvuto?
23 Reactions
327 Replies
161K Views
Uwiiiiiii etaaaatah! Hiyo yetu sie wanyakyusa
1 Reactions
133 Replies
15K Views
Kila siku watu tunasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Safari zingine ni ndefu, kuna mambo mengi yanatokea unatamani kushare na wana JF wenzako. Tukutane hapa kuanzia mwanzo mpaka...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi! Homu ni homu tu. Yani navuta kumbukumbu ya miaka ya nyuma Arusha. Mvua kubwa yenye radi raha hasa ikianza Ijumaa usiku na wikendi umenunua msosi wa kutosha huko na mpenzi wako...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa JF tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja. Je, wewe miaka 70 ijayo utafanya nini?
2 Reactions
81 Replies
5K Views
Wakuu, Kuna mhudumu wa baa alikuwa ananihudumia, bahati mbaya au nzuri akanikubali akawa ananihudumia (plus watu wengine). Ana bastola kabisa maana mida ya saa 8 usiku kuamkia leo wakati tunataka...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji kwa tiketi ya CCM, mgombea mwenzangu anawakilisha vyama vya upinzani. Ukiandika CCM kura ni yangu, ukiandika 'UPINZANI" kura itakuwa ya mgombea wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusikojulikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana Na mimi sijui ninachosema Je, wewe unaelewa...
14 Reactions
167 Replies
26K Views
Wakuu mimi nimekuwa mpenzi sana wa kupenda marafiki wahuni kwa kuwa nawaona sio wanafiki pia wanatoa msaada muda wowote utakao hitaji Yani ukiwa muhuni nakukubali kichizi kuliko ukiwa brazameni...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Wajinga wameshindwa andika 'Tanzania' badala yake eti 'Tanzanja'.. Yaani mna poor market approach, poor questions mpaka poor text writing! Heri kubet unajua kabisa team zinacheza, ukikosa unaona...
1 Reactions
4 Replies
795 Views
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani kuna jirani yangu hapa yamemkuta. Katoka kazini kafika stend akakuta pweza, basi akala pweza wa buku jero. Akaomba na supu ya pweza ya mia tano...
2 Reactions
6 Replies
761 Views
Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
2 Reactions
91 Replies
12K Views
Back
Top Bottom