Kabla ya Tukio
Nilikuwa nimetoka safarini.. Uchovu na kulimiss jiji la Dar ilibid nipitilize katka moja ya Beach maarufu hapa Dar.. Ilikuwa mida ya saa 11 jioni.. Siku ya jumatano.. Watu hawakuwa...
Achana na hizo kapeti za mita elfu 7,kapeti zipi nzuri zinazopendeza kukaa gheto,
Yaani ile mtu akiingia gheto Aone kuna utofauti ajishuku ata kuingia na soksi miguuni.
Kesho nina mpango wa...
Sijui kama ipo tayari tujuzane ila mimi naona inahitajika baada ya kupata usumbufu wa kutosha. Ipo mashine ya chapati, maandazi, mikate, kukanda unga nk. Kama ipo ningependa kujua inapatikana wapi.
Jamani kazi ni utumwa, maisha yako utayafurahia lini?
Nimekuwa mtumwa kwa miaka miwili kwa ujira kiduchu; kila kukicha kukimbizana kusaka mkate kwa imani kuwa itakuja siku nipate nafuu ya maisha...
Kumekuwepo na ubishi mkubwa kati ya haya mabasi KIDIA ONE EXPRESS , EXTRA LUXURY COACH, BM COACH na Mengine kama wasindikizani. Ubishi wenyewe umejikita hasa katika ni BASI GANI LINAKIMBIA SANA...
Baada ya kusomeshwa from primary mpaka chuo bila kujua mzee ana kazi gani
Mzee alikuwa mtu wa safari sana na aliniambia zilikuwa safari za makampuni kama UNDP n.k
Lakini hii likizo nimejaribu...
Siku ya Ijumaa nilikuwa nasafiri kutoka Tanga kuja Dar. Naombeni aliyeshuka na begi langu anisaidie maana mimi nimetunza la kwake.
Atakae pata taarifa zozote, ni-PM please.
Habarini za asubuh wakuu.
Tukumbuke nyuma kidogo. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kumiliki simu ilikua mwaka 1999 nilikua mwanza nikiwa kwenye daladala mara pap naona simu kwenye siti tulivyofika...
Kuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35.
Kila mtu anazungumza...
Anaejua tafsiri ya ndoto hii anipe.
Leo nimeota mtu wangu kajifungua watoto watatu, wa kike wawili wakapotea nikabaki na mmoja wa kiume ambaye nikampa jina la Ibrahim. Yeye alivyozaliwa tu, muda...
Sisi binadamu ni viumbe dhaifu na wasahaulifu, na kuna maamuzi mabaya uwa tunayachukua kwa hasira na hisia hivyo kupelekea kuumiza wenzetu.
Nipo kwenye group la WhatsApp ambapo hivi karibuni...
Naam kama ilivyo ada Leo kichenza nimeamua kujianika na kujieleza kwa undani mimi ni nani kwa wasio nifahamu..
Jina halisi naitwa kichenza kichenzule
Ni muhitimu wa Harvard university nimesomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.