JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
... Nilipokuwa shule ya Msingi enzi hizoo kuanzia Darasa la Nne hadi la Saba maksi zangu za somo la Hisabati (Hesabu) zilikuwa zinacheza kwenye 03% - 08% na Kwa bahati mbaya matokeo yalikuwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Swali: Hivi ingekuwaje kama BAO (si la mpira wewe) la ku-DU (umeelewa sasa…) lingekuwa linatoa mlio kama Bunduki??? Mfano: Paaah au Puuuh au Pooooh au Tuuufuu au Tratrataaaah nk. Nahisi...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wana familia ya JF, unajua kwenye wengi pana mengi, na humu ndani hua watu wanapishna kwa hoja mpaka kujibizana vibaya . Sasa nimeona nianzishe uzi huu ili kila memba ambaye anajua kwa...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Huwa naona watu wakilewa wanaanza kuchana zile logo. Kuna uhusiano gani? Walevi hebu nijibuni.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naangalia hapa mapambano ya ngumi utangulizi kabla ya pambano la megasuper star Mwakinyo asilimia kubwa ni watoto wa Temeke na walau Ilala. Hivi Kinondoni tunaweza nini yaani. Kinondoni tunafeli...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Jana natoka zangu job jioni niko kwa hiace nimekaa na dada mmoja seat ya pembeni. Kasinzia hadi ananiegemea; nikaona isiwe kesi, kidume nikakaza tu kibingwa. Sasa tumefika kituo fulani konda...
0 Reactions
6 Replies
735 Views
Basi bana leo niko zangu home nimelala mida ya mchana mchana hivi baada ya njaa kunitandika kinoma nikaona nijiegeshe kwa bed nivute vute muda wa menu liive kwa kwasababu beki 3 alikuwa jikoni...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hebu tuongee ukweli tu; umetoka kwenye mkesha flani wa aina yoyote ile, asubuhi ukaamua kulala chumbani kwako ili kupunguza uchovu na usingizi. Ukaandaa maji ya kuoga kwenye beseni pindi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*Nyangeta *Nyaso *Nyamizi *Nyambura *Nyanzobe *Nyamisango *etc Wanaweza wakawa wanatokaka -Nyalikungu -Nyampitoo -Nyamagoo -Nyahanga -Nyakanazi -Nyakato -Nyasubi -etc Nilikuwa nachambua taarifa...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimo Insta.. WhatsApp nagrup km 100 af zote nipo active.. Ni team wasafi kufa kuozaaa.. Sasa sijui warembo wanayumba wap tu..
0 Reactions
77 Replies
4K Views
Mtu amepiga zake suti safi ametokelezea ila alichokosea ile kutembea na maufunguo kiunoni. Basi yanavyopiga kelele nikajua kuna ng'ombe wameingia mjini.
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Waswahili husema kwenye mengi kuna mengi hili ni moja jambo ambalo linazungumziwa redio moja ni jinsi gani unaweza kuwatumia marafiki na watu waliokuzunguka katika kuyatafuta maisha ya mafanikio""...
0 Reactions
5 Replies
702 Views
Wanawake mlioolewa acheni kulalamika lalamika kwamba maisha magumu wanaume zenu hawawapi hela za matumizi wala za mtaji. Kama mumeo hakupi hela ya matumizi au umemuomba hela ya mtaji kakuvungia...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
MATHEMATICS EXAM PAPER Time: 2Hrs 30MINS INSTRUCTIONS: ATTEMPT ALL QUESTIONS. ALL QUESTIONS CARRY EQUAL MARKS. 1. You have dated a girl for 2 years, eventually she drops you for another guy...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina Jirani yangu Mmoja ana Watoto Saba ( 7 ) ila hakuna hata Mmoja amefanana nae achilia mbali hata Kufanana na Wazazi wake na Ndugu zake lakini anawapenda kweli kweli. Yaani Mimi nizae na...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nadhani kama Siku ya Hukumuy Kwake Mungu Sebuleni Kwake Mbinguni Wanaume wote tutahukumiwa na hii Dhambi ya Kudanganya / Kuongopa. Huwa nikikaa Mwenyewe na Kujitafakari kwa aina ya Uwongo ambao...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mvua inaendelea kuonesha utukufu na baraka za Muumba, twende tukalime sasa. Wale tunaotumia jembe la mkono, tunaolimia WhatsApp, mikokoteni au ng'ombe bila kusahau tunaolima kwa simu. Mwakani...
1 Reactions
3 Replies
561 Views
Habari za mchana wakuu... Mm sio mhuni...,Bali nataka nienjoy na kujua baadhi ya vitu ktk ulimwengu wa kisasa huu... Nimekuwa nikisikia mengi kuhusu Casino na ningependa niende nishuhudie...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom