JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*MATHEMATICS EXAM PAPER* *Time*: *3Hrs 30MINS* *INSTRUCTIONS:* *ATTEMPT ALL QUESTIONS.* *ALL QUESTIONS CARRY EQUAL MARKS* *1.* *For girls* You have dated a boy for *three* years, eventually he...
1 Reactions
1 Replies
546 Views
Wakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo. Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule. Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wadau kama kichwa kinavojieleza hapo juu,hali yangu si nzur kiuchumi hivo naombeni mbinu mujarabu za kupangua mizinga kutoka kwa kinadada mana nikiwachekea naweza nisitoboe january.Kila baada ya...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Sasa hivi wanaona uvivu hata kusema naomba (kwa wale wanaoweza kuongea vizuri). Wameamua kurekodi sauti wanaweka spika halafu wanakaa pembeni kusikilizia, daah!
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu, Kwa niaba yangu mimi mwenyewe nawatakieni wote heri ya hizi sikukuu mbili kubwa christmas and newyear. Mungu awape yale mnayoyatamani na awafanyie wepesi katika magumu...
2 Reactions
5 Replies
980 Views
Hello wakuu za siku, wiki ijayo kwenye siku kuu natamani sana nikatembelee mji wa Bagamoyo. Ni mara yangu ya kwanza hivyo basi mnisaidie nijue gharama zikoje za hotel, beach, vyakula etc
0 Reactions
2 Replies
643 Views
Mi wavudee, ngoja nikuelekeze kuazia thame, unapanda kilengaa, kituo cha kwanza mwembe,unakuja mgungani...mbele kidogo njia ya kupanda thujii, unakuja mkanyeni....unapita mto pendwa ngambini...
6 Reactions
257 Replies
10K Views
Habari wana ChitChat, Natumai mu-wazima wa afya, nina mpango wa kwenda Bujumbura kwa ajili ya kutembea tu, nilikuwa napenda kufahamu je hoteli gani ni cheap pale Bujumbura iliyo karibu na Ziwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kwema? naamini niko jukwaa sahihi.....but i know it might be seen crazy what i am about to say/ask kwanini mtu hachukizwi na chake (kama anachukizwa basi ni kwa kiasi kidogo tu) hata kama ni...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Habari zenu walipa kodi!! Niende direct kwenye mada. Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24, nimehitimu chuo kikuu mwaka jana bado nazisaka ajira, huku nikiwa napiga mishe mishe zangu za kujipatia...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hapa nilipo mvua kama kilo 7 kwa sekunde moja nishazungukwa na maji. Vipi huko mliko
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Samahani wakuu hivi humu jamvini kuna mchwa wanakula thread,unaweka thread dakika 5 nyingi inapotea na haionekani hata utafute kwa darubini na hadubini yaani inapotea milele.
0 Reactions
5 Replies
928 Views
Nimekutana nayo last weekend aisee we acha tu! Sirudii tena kumruhusu shem wenu agonge nyagi kabla ya mechi. Yani hakumaliza mapema kabisa. Nilikuwa nasikiaga tu "sijui nikagongee nyagi" now...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi nasom kitabu hiki ambacho kinanitoa machozi kila baada ya kusoma sentensi 10
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Mambo vipi watemi? Ebanaee tulio wahi kuwa na chawa tukutane hapa tubadilishane uzoefu. Binafsi nilipokuwa mdogo mpaka darasa la pili nilikuwa na chawa wengi sana kiasi kwamba kichwa kilikuwa...
12 Reactions
93 Replies
18K Views
Wakuu mumewahi kujiuliza ni kwanini movie zote za bongo mtu akipiga simu polisi anauliza kwanza "Hallo hapo ni kituo cha polisi ?" Sasa namba mpaka unaisave kwani ulikua hujui ni ya nani[emoji23]
5 Reactions
52 Replies
12K Views
Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
8 Reactions
58 Replies
5K Views
Nmeangalia hali ya usafiri ulivyo kafili Dar es salaam nmesikitika sana. Mfano leo nmeona kabisa daladala imejaa mpaka konda ikabidi apande ya nyuma yake maana alikosa pa kusimama kabisa...
2 Reactions
7 Replies
921 Views
Back
Top Bottom