Habari jamani? Yaani hii hela kila hatua ni taabu tu
Hela kuitafuta mpake uipate nitabu, utahangaika wee utaipata kwa tabu.
Hela ukimkpoesha mtu kukulipa ni tabu, utadai weee utakuja kulipwa kwa...
Habari za leo wakuu, mimi ni mgeni hapa Dodoma na kama mjuavyo kesho ni siku ya Christmas na nimepanga kutoka kidogo na watu wangu wa karibu ni sehemu gani tutakapopata chakula kizuri kwa bei...
Watakutana na wale wapenzi wao wa zamani watapasha kiporo kipindi hiki.....we unajua kaenda kusalimia wazazi ndugu na jamaa lakin kaa ukijua kiporo kinapashwa huko brooo amkaaaa
Nashangaa sikuizi sioni tena zile sms zenu "mara tupo mtaaani kwako tunakupa masaa mawili uwe umelipa kabla hatujakukamata" na zile za kunitangaza kwenye vyombo vya habari eti mimi ni mdaiwa sugu...
Naona kuna mapambio makali snaa ya xmass yanapigwa,hiz shots za hapa samak na huu upako utamatch kwel heb ngoja nijongee kdogo kwenye upako na hil gambe kichwan
Ni holiday wakuu na ndo imeanza...
Habari za maandalizi ya sikukuu ya X-mass wakuu na kuukaribisha mwaka mpya 2020, tumwombe mungu atuvushe katika hili..
Kama mnavyojua kuwa serikali kupitia mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)...
Habari za kuelekea sikukuu ya chirstmas wapendwa!.
Leo nipo hapa kuongelea suala la ushamba wa matumizi ya maneno kwa wavulana wa Arusha maana nikisema wanume nitakuwa nmewakosea heshima. hao...
Naanza kwa kumpongeza Raisi wangu mpendwa JPM Kwa utendaji wake yakinifu,hakika Katiba yetu haiko vizuri mkuu alistahili uraisi hata kama si wa milele basi walau mika 25.
Napenda kuwahakikishia...
Hapo zamani za kale nilikuwa mtumishi wa Umma nilipata wasaha wa Kufanya KAZI na mlemavu WA viungo yaani alikuwa na tatizo la mguu na alikuwa bosi wangu...
Baada ya kutoa maamuzi Kwa mujibu wa...
Jaman yaani meseji za kuombwa hela inbox ni nyingi mno kila nikiwasha data haya wale WENYE ujasiri ndio wanapiga simu kabisa bila woga hali inayopelekea muda mwingi nazima simu na nimebadili laini...
Wazee wenzangu
Wazeee wa bata
Wazeee wa location
Tuambiane sehem gani zinabamba kipindi hiki cha sikukuu
Bata yako utakulia wapi
Mimi leo niko slip way hapa nashangaa watoto wazuri
Krismas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.